Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

Binafsi ninaenda kuingia kwenye mfungo wa maombi na kwa niaba ya Tundu Lissu nitasimama na neno kwenye Zaburi 109. Hii ni Kwa wale wote waliohusika kupanga na kutekeleza uovu huu mkubwa sana dhidi ya Tundu Lissu.
Kila anayehusika kwenye hii kesi ya Lissu atapukutika
 
Mbowe ndiye mratibu wa hao watu na kaambiwa na ccm asitoke kwanza chadema mpaka afanikishe uratibu wa hao watu ...kama alivyo fanya kwa wale wazenji walio fungua kesi .
 
Wanapoteza muda wao kwa kuwaficha na kujificha,watapigwa tu.
Nafuu yao ni kuto kuleta timu uwanjani ama kuweka mpira kwapani,tofauti na hapo kipigo kiko palepale.
 
Mbowe nduye mratibu wa hao watuna kaambiwa na ccm asitoke kwanza chadema mpaka afanikishe uratibu wa hao watu ...kama alivyo fanya kwa wale wazenji walio fungua kesi .
Ushahidi kidogo mkuu
 
Kama una hela kawekeze,wekeza kwenye madini,bandari,nishati etc,au lete wawekezaji wako
Muhuni Rostam ana cheo gani huko kwenye serikali ya CCM hadi kufikia hatua ya kusaini mkataba huku muhuni mwenzake akishuhudia? Hebu kuwa serious kidogo ndugu.
 
Tumeona judge Mtembwa akiruhusu mashahidi wa siri kwenye KESI ya LISSU baada ya maombi ya DPP, ila hili ni angalizo, kama upo mahali au upo JF na umepangwa eti kutoa ushahidi kwa siri dhidi ya LISSU inapaswa kujifikiria sana, hakuna siri kwenye hii dunia maana ni kama mnafahamika tu maana wanaowapanga ni ndugu, jamaa na marafiki zetu. 🏹
 
wewe unaogopa ushaıdı ya nını km unajıamın ujafanya kosa?
 
Acha kutisha watu nyuma ya keyboard wakati we mwenyewe ni nyumbu tu kijiko kikidondoka ndani breki ya kwanza kwenye uvungu kujificha
 
Kesi ya kutengeneza
Mashahidi wa kutengeneza
Hakuna kesi hapo ni kupotezena muda tu.
 
Zile risasi 38 hazikumuua, hii kesi ya UONGO hatauliwa kwayo
 
Ushahidi unaenda kuwanyoosha Chadema na mabeberu yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…