Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

wewe unaogopa ushaıdı ya nını km unajıamın ujafanya kosa?
Haogopi isipokuwa hatuna mashahidi wanaosomeshwa miezi mitatu na kufuzu jinsi ya kutia ushahidi, shahidi anatakiwa akiseme alichokishuhudia yeye na si kuelimishwa kama yule wa Mbowe aliyekuwa anakwenda chooni kupewa maelekezo.
 
Acha kutoa vitisho takataka wewe..
Si mlisema kabambikizwa, acha kimlambe huko..
UHAINI LAZIMA UKOMESHWE KATIKA NCHI HII!
 
Freeman Mbowe ni mmoja wa mashahidi waliopangwa kumtia hatiani Lissu ili anyongwe hadi afe ili arudi kushika uenyekiti wa Chadema tena
 
Mods hawachelewi kufuta nyuzi zangu naomba watende Haki AU waniite Kwajili ya ushahidi kama wanaona navyo post Sio sahihi
Mods nao wameingia kwenye mfumo wa kuwalinda hawa mashahidi maana kila tukiweka majina yao nyuzi zinafutwa fasta.
 
Mwamba!!!!!!!🐼
Huyo ndiye shahidi namba moja, mwanzoni mwa hii kesi alitumwa kwenda kumchekecha Lissu ili alegeze msimamo aachiwe Lissu akamtolea nje akamwambia hataki vikao vya gizani alivyorudisha mrejesho kwa mama Dully ndiyo likashushwa hili zengwe la kuwaficha mashahidi na mwamba akapewa jukumu la kuongoza jopo la mashahidi ili kuhakikisha Lissu anatiwa hatia ahukumiwe kunyongwa hadi afe naye mwamba arudishiwe kikoba chake .
 
Binafsi ninaenda kuingia kwenye mfungo wa maombi na kwa niaba ya Tundu Lissu nitasimama na neno kwenye Zaburi 109. Hii ni Kwa wale wote waliohusika kupanga na kutekeleza uovu huu mkubwa sana dhidi ya Tundu Lissu.
Zaburi ya laana kwa wasio tenda haki; wanaomshitaki Lissu kwa hilana kuazimu hata kuweka mashahidi wa uongo.
 
akae tu jela atakuwa salama zaidi, mandela alikaa 35yrs na akawa rais, akina keni saro wiwa, mashoud abiola Tom Mboya walikaa uraiani wakauliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…