Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

Kabla hamjaoa vijana zungukeni dunia. Mke wako anaweza kuwa Bahamas halafu uko busy unasumbuana na wadada wa kijiji cha Tanzania.
 
Kukàa bila kuoa au kuolewa NI Laana.
 
Kwani kuoa lazima? Naona uzi kama unawanyanyapaa watu ambao wametumia haki zao za kikatiba za kutooa mpaka pale watakapojisikia wako tayari.

Au unataka kuwa kama yale mashangazi ambayo kila yakikutana na vijana swali la kwanza ni "unaoa/ unaolewa lini"?

Kwani mtu akijiamulia kwamba yeye hataki kuoa kabisa kuna tatizo gani?

Mtu akikwambia ana sababu za kifalsafa kumfanya asitake kuoa wala kupata mtoto, utakubali kwamba huo ni uhuru wake?

Au utamuona mchawi fulani hivi?
 
S
Hizi ni fikra za kuwanyanyapaa watu waliomua mambo yao wenyewe ambayo wewe hayakuhusu.

Wewe unayependa kuoa/ kuolewa utajisikiaje mtu akikwambia kuwa kuoa/kuolewa ni laana?
Suala sio kupenda hapa.
Hebu nenda chumbani kavue nguo zako zote halafu Anza kuangalia kazi za viungo VYAKO vya mwili.
MB.o.o na ku.ma Zina kazi yake usimfanye Mungu mjinga.
 
Kuoa sio sifa. Waache wale kwanza pisi kali. Zama hizi kuoa mapema sio dili. Stress za ndoa mapema za nini. Saivi miaka ideal ya kuoa ni kuanzia 33 mpaka 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…