Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

Hi,

Humu jf na nairaland vijana wengi tunasema hatujaoa coz hatuna hela, tunajitafta tupate hela ndo tuoe.

Cha kushangaza kuna hii kitu nimeona haswa haswa sehemu ninayofanyia kazi, kijana wa kiume unakuta ana cheo, tena head wa department ya kampuni kubwa, kazi nzuri, wese la kuweka mafuta ya 150k kwa wiki, kwenye Subaru Forester yake, ila mke hana, hata wakija wadada wa field tokaa chuo kwenye kampuni, wanaume single bachelors hawajisumbui kuwatongoza, hawatongozi hata female coworkers, utakuta tena kijana anakwambia ana rafiki yake anafanya kazi tra, kipindi cha chuo huyo rafiki alitamani kuoa, baada ya kupata hela, mtu anaghairi kuoa, coz anadai hana mpango huo wa kuja kuoa.

All those guys naowasema ni seemingly decent and good guys, sijajua wana mapungufu gani, hela wanazo, wako smart, hawana sura mbaya wako in their late 20's ila mbona hawataki kuoa na hawana wake, hata kutongoza hawajisumbui..

Ni aina ya wanaume ambao wanawake wanaenda kuombewa kwa mwamposa ili wawapate.

Sijajua future ya ndoa itakuaje kwakweli, siamini kama hao wanaume hawataki mke, hakuna mwanaume mwenye hela asietaka a good wife by his side. DeepPond Zemanda mshamba_hachekwi dronedrake Extrovert mawazo yenu kwenye hili tafadhali
Wameshtuka kwamba ndoa ni utapeli.

Mwanamke akikosa namna ya kutafuta pesa suluhisho pekee analoliona ni kuolewa, akiingia ndoani na kufanikiwa kuchota kiasi Cha pesa anachokitaka ataanza vitimbi muachane abaki kuwa single mama.
 
hadi kanisani wameisha?

duh, mambo yamebadilika
Wapo wengi Sana.. Shida ni kwamba mnapishana tu nyakati,, unakutana na mtu Yuko serious anataka ndoa inabidi uachane nae tu cause ukizingatia Kuna baadhi ya malengo hujatimiza na anajua.. Asa hapa ukijichanganya unaweza kujikuta umetumika na unaachwa anaenda kuchukuliwa ambaye Yuko tayari kwa ndoa kwa wakati huo.. Atakudanganya Yuko tayari kusubiri while not 😂😂😂
 
mada ngumu sana hii

ngumu sana
 
Kuoa ni project ambayo sina bahati nayo... Kila siku huwa najiuliza kwa nini sijaoa but sijawahi kupata jibu... Hii kitu sijui imekaaje,.....

Mfano mzuri ni kama unakuta wewe may be ni mkristo ungependa uokoke umwabudu mungu full time lakini unakuta huokoki na sababu hujui zinazokukwamisha.. Huo ni mfano wangu kwenye kuoa unakuta napenda nione but hiyo project haitimii na cjui sababu nini.
 
Back
Top Bottom