Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

Huuu ubeberu
 
Kipindi kizuri ambacho unatakiwa uoe mwanamke ni wakati ambao hauna pesa unajitafuta ni jambo jema kabisa pesa inaweza isiwepo lakini amani na furaha mkaipata we na mkeo
Yaani pesa isiwepo halafu kuwe na amani na furaha? Kwangu mimi HAIWEZEKANI.. Nasisitiza HAIWEZEKANI. Mimi huwa nikiwa sina hela mfukoni, Mpesa au kwenye bank account huwa nahisi joints za mikono na miguu hazifanyi kazi na tumbo linajaa gesi. Sasa hii hali ikinikuta niko na mke ananitegemea si ndo balaa zaidi? Ili kupunguza umaskini ninashauri watu waoe wakiwa wako vizuri kiuchumi na wote wawili muwe mna vyanzo vya mapato sio mke mama wa nyumbani. MASKINI WASIONEWE HURUMA KWENYE MAPENZI
 
Kiranga ameelezea swala la Uhuru wa watu kuamua jinsi wanavyotaka kuishi bila kuingiliwa.

Hivyo viungo kazi zake zinaweza kufanyika bila hata KUOA au KUOLEWA.
Hawa raia hawa ndiyo maana hata viongozi wa kisiasa wanawaburuza.

Hawajui uhuru ni nini, hawajui haki ya mtu kujiamulia mambo yake mwenyewe ni nini.

Wanafikiri kama ng'ombe ng'ombe tu waliozoea kupelekwa pelekwa kwa mafungu mafungu tu.

Hawajui individuality ni nini.
 
Hao ulio watag ndio watu uliokuwa unawazungumza, chamsingi usi generalized mambo
 
Nyie ni wa kikiristo full stop.
Waislamu mahari Juzuu 1 & Msahafu 1 unachomwa ubani binti anaenda

Wakristu kishika uchumba, mahari, makolokolo mengine mkaja wa Bibi, Koti la Babu, fungu la mashangazi na wajomba, majembe, ng'ombe 10 walionona hapo bado sherehe zao za kumuaga binti wao wanataka ulipie wewe na mahari usiache hata 100 umalizie yote

Acha vijana wagome kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…