Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

Mwanaume kuanza kufuatilia mwanaume mwenzako kuoa au kutongoza huo ni umama!!
 
S

Suala sio kupenda hapa.
Hebu nenda chumbani kavue nguo zako zote halafu Anza kuangalia kazi za viungo VYAKO vya mwili.
MB.o.o na ku.ma Zina kazi yake usimfanye Mungu mjinga.
Mkuu usidhani wote ambao hawajaoa,hawatumii viungo vyao,tena yawezekana wanatumia viungo vyao kwa ukamilifu zaidi ya aliyeoa.
Fanya utafiti.
 
Kwasababu,
Zama hizi ndoa ni kwaajili ya kijana mpumbavu.
Ni mwanaume mpumbavu ndiye atafunga ndoa zama hizi.

Nakupa simple reason.
UHITAJI LESENI WALA KIBALI KUTOKA KWA MTU YEYOTE YULE KUANZISHA MAHUSIANO.

KWENYE BIASHARA:
Utakuta mfanyabashara smart anapambana kutafuta mbinu ambazo zitamfanya aingize faida kubwa bila kodi kabisa au kodi kidogo.

Ndoa ni biashara:
Kwa smart busines man yoyote yule hawezi kuingia mkataba wa kipumbavu kama wa ndoa.



Vijana walifungandoa tunawaona huku mtaani.
Kujifunza kutoka kwa wengine.

MGTOW
Naamini wewe pia unaelewa kwa namna gani now days wezetu waupande wapili wako strong.

Now days date imekuwa kama job interview

A date is about to know each other and having sex.
Now days
Date is like a meeting with a prosecutor / detective / spy cat.

Nb.
Sijawazungumzia wanawake kabisa hapa.
 
mkuu kwani kinachowakutanisha hapo ofisin ni kazi au personal issues...kama wanafanya kazi zao vizuri , nadhani maisha binafsi sio kitu cha kutaka kujua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…