ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Awamu ya 5 kuna viongozi waliwika sana hasa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao mbali mbali ya kijamii ambao haipiti siku bila kuwaona au kuwasikia ila kwa sasa imekuwa tofauti wapo kimya mpaka kuona kama awapo katika awamu hii ya 6.
Wewe unamkumbuka nani? Mimi Mhe. Prof Palamaganda Kabudi mzee sijamsikia muda
Wewe unamkumbuka nani? Mimi Mhe. Prof Palamaganda Kabudi mzee sijamsikia muda