Professor Paramagamba kabudi, napenda alivyokuwa anaongea kwa kujiamini tena kwa msisitizo,siku akigombea u raisi nitakwenda kupiga kura!!
Dr mpango nimemis alivyokuwa waziri wa fedha nilikuwa napenda speech zake,siku hizi yupo yupo tu!
Ummy mwalimu mahiri na mchapakazi enzi zake akiwa waziri wa afya kapiga kazi sana,halafu alikuwa na namna flani hivi ya kuongea kwa kujiamini!
Professor Ndalichako,sijui kapotelea wapi huyu bi mkubwa,in short napenda watu wanaojiamini ambao hawana kona kona nyiiingi kwenye maneno na mambo yao.
Big up kwenu niliowaorodhesha hapo juu.