Tetesi: Kuna viongozi wanaolipwa na serikali ya Misri ili tusitumie maji ya ziwa Victoria

Kwani Misri iko Tanzania? au sehemu ya Tanzania? Ziwa Victoria liko Tanzania, matatizo yao sio sehemu yetu,hatuwezi kupata matatizo ili wao wanufaike.
 
Kuna miradi ya kilimo ya Bugwema Kakono Buswahili nk tafiti zimefanyika tangu miaka ya 70. Implementation ni shida kisa pesa.

Ukienda WB kukopa pesa ya mradi unakutana na kigingi cha mmisri kwa kisingizio miradi hailipi.

Well said !

Egypt economically yuko vizuri kuliko Tanzania hivyo. Misri anatumia uwezo wake wa kifedha kutukandamiza watanzania
 

Tafuta kwanza mkataba wa matumizi ya maji ya Lake Nile na Victoria kwanza The Nile Water Agreement of 1929 ndipo uju na hizi allegations. Nakushauri uwe unafanya kwanza home work kwa kina kabla hujafanya tuhuma kwa watu kwa kujisingizia eti unauliza.
 
Kimsingi sisi watanzania tunahaki ya kutumia ziwa victoria kwa vyovyote vile ilimradi tu, tusichafue mazingira na vyanzo vya maji.

Kuna viongozi wachache wanahujumu matumizi ya ziwa victoria kwa maslahi yao binafsi na misri pia

Je unafahamu nini kuhusu The Nile Water Agreement of 1929?
 
Mkuu:
Kwa hiyo sisi hatuna haki ya matumizi ya hayo maji, kwa sababu tutaleta upungufu.

Je tukichukua kutoka kwenye vyanzo au mito inayo ingiza kwenye ziwa victoria bado tutakuwa hatuna haki?

Je unafahamu nini kuhusu The Nile Water Agreement of 1929?
 
Mbona unamungunya maneno ?Waziri wa mambo ya nchi za nje alietoka alipinga kutumia maji ,je alitaka kuwa raisi wa Tanzania au wa Misri?

Je unafahamu nini kuhusu The Nile Water Agreement of 1929?
 
Mi nawafahamu wawili tu. Kuna yule waziri wa zamani msomi kabisa wa unyakyusani na mwenzake mmoja alingushagwa na krikuu time flani hapo nyuma na kuna kipindi aliwahi kuwa mla tende mzuri tu kule mashariki ya kati kisa bakuli...!
Mwagika mkuu hatuogopani saivi bwana
au nitumie hayo majina pm niyamwage mwenyewe
 
Mi nawafahamu wawili tu. Kuna yule waziri wa zamani msomi kabisa wa unyakyusani na mwenzake mmoja alingushagwa na krikuu time flani hapo nyuma na kuna kipindi aliwahi kuwa mla tende mzuri tu kule mashariki ya kati kisa bakuli...!
Mwagika mkuu hatuogopani saivi bwana
au nitumie hayo majina pm niyamwage mwenyewe
 
Hivi mtoa hoja umefanyia uchunguzi na tafiti kabla ya kutuletea ndani ya jf.?
 

hii kitu niliwahi isikia kipindi cha mkwere, nikabaki mdomo wazi
 
inasemaje hebu tumwagie
 
Je unafahamu nini kuhusu The Nile Water Agreement of 1929?


Mkuu:
Inawezekana mimi sifahamu chochote kuhusu huo mkataba (NWA 1929)
Swali ni kwamba hao walio ingia huo mkataba ni akina nani na kwa maslahi ya nani.

Kama wewe si mtanzania au mkazi wa eneo husika naomba usijibu lolote.
 
kwaiyo unamaanisha sisi wenye ziwa victoria na wenye vijito vilivyokauka kumwaga maji ziwa victoria hatuna haki yakutumia maji ya ziwani kwakuwa tuu wa egypt watakosa maji kwenye mto nile...huo ni upumbavu.
mh huogopi sandarusi?
 
Usiogope nina imani Rais wetu yupo makini sana na kama kuna ukweli utaona matokeo na kwa sasa ni kimya kimya amini hivyo nchi inahitaji sana kusonga mbele watu wachache wasiokuwa na hofu ya Mungu hawawezi kutukosesha haya matumaini tuliyonayo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo hakika Magufuli atawatumbua tena bila ganzi
 
Mijitu mingine bwana n laana tupu.Unakuta yanakomaa" in marufuku" kufanya shughuli zozote ndani ya mita 60 toka chanzo cha maji! Wakati huo halitoi mbadala wake na njaa inatafuna nchi.Sijui yamerogwa??!! Mbona Misri wanatumia na hawalii njaa na nchi yao jangwa,au yanasubiri yapelekwe ziara ya mafunzo Uarabuni?
 
Correction;:
Maji mengi yanayofika Misri yanatoka Ethiopia kuliko Victoria
google:; Nile facts
 
Na alilikomalia mpaka ikashangaza. "Kwanini tutumie maji ya Ziwa Victoria Wakati Misri hawana maji ?" aliuliza watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…