Tetesi: Kuna viongozi wanaolipwa na serikali ya Misri ili tusitumie maji ya ziwa Victoria


Kama kuna viongozi kama hao na kama kuna ushahidi wa kutosha basi majina yao yawekwe hadharani na wachukiliwe hatua.
 
Mkuu:
Inawezekana mimi sifahamu chochote kuhusu huo mkataba (NWA 1929)
Swali ni kwamba hao walio ingia huo mkataba ni akina nani na kwa maslahi ya nani.

Kama wewe si mtanzania au mkazi wa eneo husika naomba usijibu lolote.

Ukijifunza kuwa ukweli unabaki kuwa ukweli na haubadiliki hata ukiwa unasemwa na nani. Ukweli haubadiliki hata kama utasemwa na adui yako. Kufahamu jambo ni kuwa na taarifa sahihi za jambo hilo badala ya kutumia hisia za moyo wako au hisia za mtu unayemuamini. Mkataba upo kama unajua kusoma unaweza ukasoma kwa maarifa ya ubongo wako kama unataka kutafuta maarifa, kama unataka kukaririshwa uongo basi subiri mitambo ya kutengeneza uongo wakutengenezee mahitaji ya ubongo wako kisha u save ili nawe ukipata nafasi uanze kufanya ukasuku.
 
Ni wizi wa mchana kweupe ndio maana Raisi Nyerere mwaka 1961 aliukataa huo mkataba shoga,hakuutambua.

Shoga Sblandes alivyoukataa ndio ikawa nini? Kama alivyoshindwa katika mipaka iliyowekwa na wakubwa zetu, hakuwa na mamlaka na huo mkataba ndio maana mpaka anakufa huo mataba unafanya kazi. Tujifunze kuutambua ukweli na tuache kuukumbatia upashkuna, uongo na uzandiki kwani hivyo havitatui matatizo yanayotukabili, vinakidhi kiu ya ashki zetu za kutoa maneno ya ovyo ili tuonekane wa maana na wasiojua wenzetu
 
unajua kiswahili kama umezaliwa buzebazeba
 
unajua kiswahili kama umezaliwa buzebazeba
 
Umekariri bila kuelewa,ndio tatizo.Pole sana
 
Umekariri bila kuelewa,ndio tatizo.Pole sana

Dalili ya walioshindwa hoja ni kutafuta sababu ya kukimbia mjadala, nao huo ni ungwana, wengine huondoka kimya kimya, wenye roho ngumu na aibu kama wewe hujaribu kujitutumua. Hoja yako ni kuwa Nyerere alikataa kuutambua, je kuukataa kwake kuutambua huo mkataba kulifanya mkataba ufe au? Jadili acha jazab na hasira, wote tunatoa mawazo katika kujenga nchi. Hoja yako ikumumunyuliwa usisuse, jipange na ufikiri tena
 

Mkuu Domokaya:
Wacha domo, jibu swali la msingi
"Hao walio ingia mkataba ni akina nani na kwa manufaa ya nani".
Hiyo fasihi yako uliyo iandika kwa sasa haina mashiko, ni vyema ungezingatia muktadha.
 
Pole sana kwa kujiliwaza yaonekana unatafuta QC lakini too late kwani maboga kama ninyi ndio mnasema Mzungu alivumbua mlima Kilimanjaro wakati magi wamekuwepo hapo kabla eti kwasababu imeandikwa na mzungu,vivyo hivyo unakalili sheria mfu eti kwa sababu tu aliandika mkoloni mwingereza.Slavely mentality na colonial hangover inakusumbua.
 
Hizi conspiracies ziko duniani kote.Wapo walioko kwenye payroll ya Masonic organizations ili kufanikisha Masonic agendas,kama kuharibu elimu,kuharibu kilimo,na depopulation through kufumbia macho vyakula vyenye sumu nk. Sitashangaa kama hii itakuwa kweli.Serikali ilifanyie kazi kwa kutuimia vyombo vyake vya usalama.
 

Bora wewe una akili zako timamu kwa sababu umekuwa Mtanzania kwa vile Mungu kapenda! Kenya nchi jirani kwako kwa vile Mungu kapenda na hayo maneno unayoyatumia ya Slavery mentallity na colonial hangover umeyapata kwa kuwa Mungu kapenda. Jeunalifahami jina lako? Nalo hilo Mungu kapenda. Dini yako? Hiyo ndiousiseme ulishushiwa kwako mwenyewe direct na Sir God Himself. Congratulations. Mkataba upo, mumeamua kuwa wanyama wa kufugwa kwa kufuata taratibu zao basi heshimuni taratibu zao ndizo zinazoendesha maisha yenu, kurukaruka pasipo kujua unafanya nini ni kupoteza muda, once a slave, always a slave!
 
Mkuu Domokaya:
Wacha domo, jibu swali la msingi
"Hao walio ingia mkataba ni akina nani na kwa manufaa ya nani".
Hiyo fasihi yako uliyo iandika kwa sasa haina mashiko, ni vyema ungezingatia muktadha.

Walioingia mikataba ndio hao hao walioweka mipaka mpaka hii leo unaona Egypt si nduhu zako. Wameamua wewe uwe nani, uitwe jina gani, jirani yako awe nani, uwe dini gani na uamini katika kitu kisichoonekana kiitwacho mpaka lakini kitu hicho kikuingie akili mwako mpaka uwe hata radhi kufa kwa ajili ya kuulinda mpaka japo hauonekani
 
Nilishafanya hiyo homework ndio nikaja hapa
 
Ukitajiwa Lowassa Chup* inakuloa kwa nini?
 
Haya tuambie huo mkataba bado upo au haupo?
Mkataba huu haunt tofauti na mikataba ya kilaghai iliyosainiwa na wakoloni

Its a colonial treaty na hautuhusu

Huo ni mkataba kati ya MKOLONI MWINGEREZA na Misri
HAUTUHUSU

 
Hata uganda wanayatumia kwa umeme mto nile, nasasa wana mradi mwingine "victoria falls" nao utakuwa umeme.
 
Upumbavu wa wana CCM na unafiki wenu ni kwamba Lowassa mlipoona alikiwa kiongozi na kama mnavyomtuhumu mbona hamkusema??? [emoji225]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…