Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

Mwandishi anademka demka etii!😁😁
 
Bakwata ni chombo cha serikali,na hujaa mashushu, uchaguzi wa mufti bakwata idara huwa bize kuhakikisha anakaa mtakiwa,hata watu wa vigango huwa bize na uchaguzi wa mufti wa bakwata, infact waliudhamini 1992
Huyo mufti kawekwa tu binafs huyo zuber namjuwa miaka nenda rudi sifa yake kubwa alikuwa anauguza watu tu,hilo pande kama alipewa tu la umufti

Ova
 
Huyo mufti kawekwa tu binafs huyo zuber namjuwa miaka nenda rudi sifa yake kubwa alikuwa anauguza watu tu,hilo pande kama alipewa tu la umufti

Ova
Anauguza watu ni dokta au mganga wa kienyeji?
 
Huyu jamaa ndie the most impactiful minister kwenye cabinet ya Samia, ndiye the brain behind Dira ya Taifa 2550!.
This is a very big thing!.
P
Kitila Mkumbo amekuwa overrated tu sikubaliani nawe, ni more bookish oriented, practical oriented hamna kitu.

Kuna watu wako very smart hawajapata tu nafasi, mfano CECIL Mwambe,hii ni hazina,but naona ni amekuwa meager utilized kwa miaka 10 yake ya kuwa bungeni.
Hajapewa fursa ya kulitumikia taifa kwa level ya uwaziri, Mwambe smart sana.

Mkumbo ana accademic arrogance kukosolewa hataki,nishawahi kuwa naye kwenye group songezi, anajiona ni mtu mwenyewe absolutely say kwenye mijadala, kukosolewa hataki.
 
Mkuu wife wako anaweza bkuwa TISS na usijue πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa πŸ’― ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Chanzo Cha habari zako!
 
Asante sana kwa elimu
 
cku hizi kila mtu n wa kitengo hadi wenye degree zetu kwenye zege huko watu wanatuogopa sana,na hatujitambulishi ila elimu uchawi utajulikana tu.
 
Mie kwenye ukuaji wangu mtaan kwetu watu sijui walikua wanatoa wap hizi habar za usalama wa taifa yaan Kila mtu anajiita usalama sijui mtu amekaaje kaaje ni usalama wa taifa [emoji3][emoji3] nikawa najiuliza usalama huwaga wanawaeleza raia wao ni akina nan??
 
K

Kwani ni tofauti na maisha kama yale tuliokuwa tunayasoma kwenye Novel’s zilizokuwa zikiwahusu CIA na KGB za Enzi zile za Vita baridi ??!

Watu walikuwa wanakula raha kweli kweli na wakati wa kazi wanahenya na kazi kweli kweli πŸ˜…!
Ambao hawajajiingiza kwenye wizi na syndicates za ufisadi ya wachache waliopo kwenye vyombo vya maamuzi na utendaji, hali zao ni ngumu sana, mishahara midogo kazi nyingi na ngumu.....Mungu mwenyewe asaidie kuleta watu ambao watajitoa kwa moyo wa dhati kabisa kwanza kuweka maslahi ya hawa watu vizuri na Kisha kuhakikisha adhabu Kali zinatolewa pale wanapovunja miiko waliyopewa
 
Misingi yao inakuwa si imara au origin hazieleweki. But yes catholic is different
Catholic ingekuwa yale madhehebu ambayo Yako decentralized ambapo kila usharika na katiba yake!!

Leo Marais wa TEC wangekuwa wanasimikwa na TEETH kwa maslahi ya sirikali,bndo maana walimuogopa BAGONZA.

Catholic church ni CENTRALIZED, katika yote , ni Moja, Kanisa katolki la mitume.
Likisema ulimwengu wote unafuata, ni zaidi ya Serikali.

"Roma Locuta Causa Finita "
"Roma ikinena, shauri limekwisha "πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒ kanisa Katoliki Raha sana..... I'm proud to be catholic, I'll die as catholic.
 
I used to like him not any more baada ya kuinteract naye sehemu sehemu, nimegundua no, he isn't what he claims to be or try to portray!

Yeye ndiye ambaye amenifanya niwe makini sana na Vijana wa upinzani...I fought (direct and indirectly) for them kupewa nafasi nikidhani walizikosa kwakua Kuna nepotism nchini kwetu, lakini yeye mwenyewe amenithibitishia kuwa he is just one of the same miongoni mwetu, watanzania tuna ego kubwa na hatuambiliki, zaidi sana tuna tabia ya self seeking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…