Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Umechelewa kufahamu hilo, it has been this way kwa muda mrefu

Lakini back in the days walikuwa for the country, kwa sasa wako for the party
 
Mkuu Kamu, Kamundu , kwa lengo la kusaidiana tuu, kukusaidia wewe na wengine wasiojua, kumtaja kwa majina mtu yoyote wa TISS na kumu expose kuwa ni TISS, huyo mtu akiwa ni TISS kweli, then kumtaja kwa jina ni kosa la jinai!.
P.
Ukishakuwa publick figure tayari uko exposed. Including your background.
TISS should limit watu wake kwenye nafasi kama hizo maana watakuwa exposed kutokana na nature ya siasa na hizo nafasi
 
Mkuu Kamu, Kamundu , kwa lengo la kusaidiana tuu, kukusaidia wewe na wengine wasiojua, kumtaja kwa majina mtu yoyote wa TISS na kumu expose kuwa ni TISS, huyo mtu akiwa ni TISS kweli, then kumtaja kwa jina ni kosa la jinai!.
P.
Kweli alivhofanyà sio sawa kabisa....kosa pia tena jinai .....nadhani haelewi anachokifanya....na pia sio sifa....kabisa
 
Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
I don't think they are, labda waite waangamizi wa taifa, utakuwaje usalama kama unateka na kuwapoteza watu
 
Mkuu Kamu, Kamundu , kwa lengo la kusaidiana tuu, kukusaidia wewe na wengine wasiojua, kumtaja kwa majina mtu yoyote wa TISS na kumu expose kuwa ni TISS, huyo mtu akiwa ni TISS kweli, then kumtaja kwa jina ni kosa la jinai!.
P.
Mbona ole sabaya alikuwa anatumia utambulisho wao kudhulumu bia huku mtaani?
 
Wakuu wa wilaya

Wakuu wa mikoa

Mabalozi

Viongozi wa vyama vya upinzani..

Pisi kali za JF.....

...na wengineo mara nyingi huwa ni TISS. Zamani walikuwa wanaandaliwa vizuri hawatambuliki ila hawa wa sasa mkiwa baa tu mkazinguana anatoa pistol na kuanza kuropoka...

Hata humu JF nawafahamu kwa asilimia 100 mabinti watatu na bro mmoja (siyo Pasikali)...😁🏃🏿‍♂️🏃🏿🏃🏿‍♂️
 
Back
Top Bottom