Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Yaani wewe ndio unajua leo? Mbaya wanawekana wao tu vyeo vyote vya uongozi nchini kuanzia ubunge uwaziri hadi urais. Wakiamua rushwa ni rushwa tupu hadi apatikane kwa bahati mtu kama Magufuli.
 
Haina maana ya uwepo wao kama Taifa ni masikini na watu wanajilimbikizia mimali ilihali ni watumishi wa umma.

Kazi ya usalama sio kulinda usalama tu bali hata kulinda maslahi ya wananchi wa Taifa husika kiuchumi, kiafya nk.
 
P ahsante kwa ufafanuzi wa TISS. Umesema kuwataja ni kosa; mbona FAM alimtaja wazi wazi yule mtekaji mkuu na hajachukuliwa hatua yeyote?
 
P ahsante kwa ufafanuzi wa TISS. Umesema kuwataja ni kosa; mbona FAM alimtaja wazi wazi yule mtekaji mkuu na hajachukuliwa hatua yeyote?
It depends na circumstances, hata TL kule BBC aliwataja majina , mimi nikaogopa akirejea atadakwa athibitishe, hivyo nikajua hata rejea. Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela! lijamaa likarejea na halikufanywa chochote, ina maana alichosema ni cha ukweli.
P
 
Asante nimejifunza
 
Ajabu kweli umemsahau boss wako Imran vyuma vilipenya
 
Kwa mara ya kwanza umetoa ufafanuzi ambao upo 💯true.
 
""....hivyo mameneja wote wa financial institutions zote ni ma Tiss.""
Naomba uthibitisho wa hili ...

Pascal Mayalla

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kuna Tiss ambao ni informer,ili uganye uhalifu lazima utumie hela na hela zinatumwa kupitia bank.so,kazi yao ni kutoa taarifa ju ya miamala yenye mashaka.
 
Nilishangaa sana kuhusu Sheikh Yahya Hussein. Mnajimu, kumbe ana kazi nyingine.
Watu salama na siri yako ni makasisi tuu wa Kanisa Katoliki tuu, mimi kuna mtu nayajua maovu yake, akaungama kanisani, akaugua ghafla, padri akaitwa kumpa sacramenti ya upako mtakatifu, huyo jamaa akafa, nikaja kuonyeshwa saa hizi yuko mbinguni peponi! Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Kuna Tiss ambao ni informer,ili uganye uhalifu lazima utumie hela na hela zinatumwa kupitia bank.so,kazi yao ni kutoa taarifa ju ya miamala yenye mashaka.
Umesema kazi yao ila nilichoomba ni uthibitisho braza..
""..mameneja wotee ni TISS""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…