Mkuu Mundu,
Kamundu , kwa lengo la kusaidiana tuu, kukusaidia wewe na wengine wasiojua, kumtaja kwa majina mtu yoyote wa TISS na kumu expose kuwa ni TISS, huyo mtu akiwa ni TISS kweli, then kumtaja kwa jina ni kosa la jinai!.
I can just imagine, kama sisi tuliajaliwa jicho la tatu, ma Tiss tunawajua kwa kuwaona tuu sura, je tungewataja ma Tiss wote tunaowajua, tungebaki salama?
Huwezi kutoboa boti mnayasafiria. Ikizama mnakufa wote!, au kulikata tawi la mti uliolalia!.
Kwa taarifa yako ma TISS ni wengi kuliko unavyodhania hata Sultani naye ni Tiss, hata Mkuu nanilii pia ni Tiss
Ila sio kila Tiss ni Tiss
Kuna Tiss wa aina 3.
- Staff hawa ni waajiriwa, wafanyakazi wa Tiss, ni watumishi wa mishahara, hawa staff wako wa aina mbili, kuna open staff, hawa wanajulikana kama DGIS na maofisa wote wa TISS wanaojulikana kama RSO, ma DSO etc, hawa kuwataja hakuna tatizo, ila kuna ma SS, secret service, hawa hawatakiwi kujulikana, na ikitokea ukawajua, huruhusiwi kuwataja!.
- Viongozi wote, wateuliwa wote na watendaji wote, hawa ni ma Tiss kwa mujibu wa positions zao, wakiwemo mabenki yote yana mtu wa kitengo cha FIU hawa ni ma TISS, taarifa ya FIU lazima ipite kwa bank manager hivyo mameneja wote wa financial institutions zote ni ma Tiss.
- Informers, hawa ni watu wa kawaida wanakuwa recruited kuripoti Tiss na kulipwa posho tuu, huku wakiendelea na shughuli zao.
NB. Mimi nina damu ya TISS kwenye veins zangu kwa wazazi wangu wote wawili, na tumezaliwa 8, haiwezekani sisi wote nane tukawamo!. Kunidhania mimi ni mmoja wao rukhsa na angalia hapa ninavyoisifia ofisi yangu
TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Hapa namtishia bosi wangu
Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Na kunapotokea matishio ya kiusalama, badala ya kuripoti ofisini, mimi naripoti jf
Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
P.