onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Mm nilifundishwa na wazazi ukienda kwa mtu bila ya ahadi na ukakuta wanakula usile maana katika bajeti hujuwepo kabisa na ukiangalia ni sawa,mpaka leo hili nimeliweka kichwani.Hapana mkuu kutokana na hali halisi siku hizi hatutumii hilo neno, ni karibu chakula tugawane hivyo hivyo mapungufu tusameheane basi, hapo sasa wageni wanajiongeza wenyewe.