Kuna wageni ambao hawana ustaarabu mezani saa ya chakula

Hapana mkuu kutokana na hali halisi siku hizi hatutumii hilo neno, ni karibu chakula tugawane hivyo hivyo mapungufu tusameheane basi, hapo sasa wageni wanajiongeza wenyewe.
Mm nilifundishwa na wazazi ukienda kwa mtu bila ya ahadi na ukakuta wanakula usile maana katika bajeti hujuwepo kabisa na ukiangalia ni sawa,mpaka leo hili nimeliweka kichwani.
 
Watu wa Dar acheni uchoyo kwanini msipike chakula kingi?..ndo mana mnakufa kwa stress mana moyoni mmejaza kila aina za uchoyo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tukienda kwao siku ya pili unaulizwa unarudi lini, nilishawai ulizwa na mke wa baba yangu mdogo, nilikuja kufanya interview, nilipita nikaitwa kazini Ila sikuja kufanya, wakati mmewe kakaa kwetu miaka na miaka.
 
Watu wa dar wanajifanya wanajua sana bajeti..ila wakija mkoani wanataka wale kila kitu..na vingine wanataka waondoke navyo kwenda navyo dsm.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona unatumia IQ kubwa sana kujibu Hoja!!!!!!../

Ujaanza leo yaan 95% ya hoja zako ukulupuk so BIG UP Sana Askari wa Miguu!!!!
 
Sio lazima mle ugenini.
 
Ndio makosa madogo madogo tunayopuuzia baadae yanakuja geuka tabia mbaya na sugu
 
utamsikia shemeji leo umenipatia kweli, hawa samaki ndiyo ugonjwa wangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa mkuu....na unawekaje samaki 8 exactly na idad ya wageni buana....weka misamaki yakutosha kama una wagen usibanie

Mi bi mkubwa wangu akiandaa meza aisee..mnaweza kula had mkatambaa
Sasa wawepo , sasa unabajeti na familia yako, mgeni unakuja tena bila taarifa kwahiyo ulichokuta mnagawana na wenyeji, sasa uwiiiii mgeni anakuwa mwenyeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana mkuu kutokana na hali halisi siku hizi hatutumii hilo neno, ni karibu chakula tugawane hivyo hivyo mapungufu tusameheane basi, hapo sasa wageni wanajiongeza wenyewe.
Hawajiongezagi mkuu anacheka cheka tu, Shem hata dagaa bamia mie nakulaga sichaguagi mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa wawepo , sasa unabajeti na familia yako, mgeni unakuja tena bila taarifa kwahiyo ulichokuta mnagawana na wenyeji, sasa uwiiiii mgeni anakuwa mwenyeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia bwanaaa,, amenipatiaaa shemeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kuna mmoja alisema nyie mnapenda kula nyama sana hakuna samaki? Cha ajabu kila anapokuja hata dagaa hawezi kuja nao wakati anaishi karibu na ziwa elf2 unapata hata kilo 10, ila nishamzoea namtizama nakumpotezea tu.
 
Kakupatia ulinunua? [emoji3][emoji3] Ukishacheza rafu unamuombe dua shemejio Mungu ambariki, kama ni Mimi naitikia tu sawa wala sitabasamu
 
Tukienda kwao siku ya pili unaulizwa unarudi lini, nilishawai ulizwa na mke wa baba yangu mdogo, nilikuja kufanya interview, nilipita nikaitwa kazini Ila sikuja kufanya, wakati mmewe kakaa kwetu miaka na miaka.
Ungemwambia Baba mdogo kaishi kwetu miaka na mamiaka hatujawahi muuliza anaondoka lini!
 
Kuna mmoja alisema nyie mnapenda kula nyama sana hakuna samaki? Cha ajabu kila anapokuja hata dagaa hawezi kuja nao wakati anaishi karibu na ziwa elf2 unapata hata kilo 10, ila nishamzoea namtizama nakumpotezea tu.
Mkuu unaharibu, palepale Una muuliza ulileta hao samaki tukaacha kuwapika?
 
Tulia bwanaaa,, amenipatiaaa shemeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli nimekupatia, halafu mie wa hivyo ninaye haaa haaa na kanizoea haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…