Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

πŸ˜‚ hivi kuna mtu hajawai kugoogle dalili za ukimwi?
 
Nyie vijana, ukiingia kwenye uhusiano mpya. Hakikisha mnapima wote kwanza. Mambo ya kujifanya mnatumia protection, siku 2,3 za mwanzoni. Baada ya hapo mnaaminiana kwa macho, utapigwa na kitu kizito.
Pima, kuwa mwaminifu kwa mpenzi mmoja, ukishindwa achana na kujigjig. Siyo chakula kusema utakufa lah ukale mbegu vichwa vyenu.
 
πŸ˜‚ hivi kuna mtu hajawai kugoogle dalili za ukimwi?
Kama ni mtu wa harakati ni lazima mkuu..

Mi likija suala la kupima huwa mapigo ya moyo yanakua juu sana ...

Nakuta nabanwa na haja hapo hapo..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu acha tuu sasa na ugumu wa life hii alafu ukutane na zing zong ka hizo..

Daah unakuta mtu yupo very strictly ujui shida nn kumbe mwenzako kichwa kina mambo mengi mno aiseeee
Ndio maisha yakishatokea yametokea.

Kuna lishangazi lilikuwa zuri sana, saivi kaporomoka ghafla kakonda anakohoa kohoa tu sababu ni hiyo.
 
Nini kilitokea APOSTO 😊

Natania TU..Kama mazuri vile yaan ni balaaa 😴
 
Msitupangie maisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huu mshangzi unanipa jeuri jamn na hivi vipomo vyake kama flash dooh...

Sema serious mi mtu akisema twende hospitali aaaah weeeh bora nizinguane nae tuu...

Hata huyu niliye nae alileta hizo pigo nikamchezeshea karatasi la kupima kwa adobe photoshop nikamtumia akajua kweli bana...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Bantu Lady ni akili tuu
 
Kama ni mtu wa harakati ni lazima mkuu..

Mi likija suala la kupima huwa mapigo ya moyo yanakua juu sana ...

Nakuta nabanwa na haja hapo hapo..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚ acha tuzeeke tu, ujana mzuri lakini mbaya sana.

Unatoka kwa pisi leo, kesho yake unaanza kuhisi maumivu ya koo ila unasahau kama ulibwia mabarafu. Akili inakumbuka tu ulizini πŸ˜‚

Lazima ugugu
 
Kupima kwa macho ni mwiko, wasiposikia la mkuu basi ila bora umewaambia.
 
😁😁😁Huu uzoefu kila mtu anao , mimi nishapiga zaidi ya mara moja ,mtoto mbichi kabisa ,then nakutana na msela kaniambia kama haujapiga kimbia huyo kazaliwa nao , sijakaa vizuri nasikia mama yake kavuta 😁😁😁😁😁
 
πŸ˜‚ acha tuzeeke tu, ujana mzuri lakini mbaya sana.

Unatoka kwa pisi leo, kesho yake unaanza kuhisi maumivu ya koo ila unasahau kama ulibwia mabarafu. Akili inakumbuka tu ulizini πŸ˜‚

Lazima ugugu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Daaah aiseee hiyo kitambo sana...
Ila kwa sasa unazani naelewa sasa...

Kwa hili life mkuu tunayopitia huyo virus mbona cha mtoto...
ARV + mlo mzr + mazoezi aaaaaaah

Mungu akupe nini tena mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au unataka A ya chemistry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…