Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

Ndio hivyo kuna watu wanajua kabisa hali zao ila wanasukumwa na ubinafsi na roho mbaya kuwaambukiza wengine makusudi
 
πŸ˜‚ lazima uende likizo ya kukosa utulivu. Ikawaje?
 
NATOA 10K KWA MTU ATAKAE NITUMIA TANGAZO LA UKIMWI KWENYE MIAKA YA 2003+ AMBALO LINAFANYIKA KANISANI HUKU MTOTO ANAZALIWA NA KUBATIZWA KANISANI NA MWISHONI KABISA MILANGO YA KANISA INAFUNGWA.

NALITAKA LILE LAKINI KIINI NI ILE SOUND/AUDIO ILIYOTUMIKA NDO NAITAKA HASWA COZ NI MPENZI WA SOUND ZA VILE MNO REFER SOUND ZA TBC ZILE ZA SALAMU ZA KIFO
 
Hamkupima kwani wakati mnaanza mahusiano na Hilo lishangazi??
Nop alinipa mimi nauli nende hospitali akasema nikapime nilete vipimo..

Yeye sijaweza kumuliza kuhusu vipimo niliona kama ataona namuhisi vibaya πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Uzi wa ukimwi weekend mapema.
Jambo zuri.

Usione soo, kuhusu

Kusubiri,
Au kuwa mwaminifu
Au kutumia kinga.
 
Kuna jamaa yetu alifiwa na mamake yake mzazi na mama yake mdogo walikufa wote wakifuatana.
Ngoma aliwatanguliza.
 
Haha im in my late 40s sina cha kuogopa!! Mind you life expectancy ya mtanzania ni 50 years,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawa ndo watu wa kukaa nao karibu..
Huna mda wa kupoteza dadek et et life expectancy ni 50 alafu unakua muoga muoga...

Oaaa weee nimekua inspired na wewe mkuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Nasemaje ni mwendo wa show show DO or DIE
 
Wewe tenaaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mama aliwahi niambia "Kunguru mwoga hukimbiza mbawa zake"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kavu kavu kavu
Sema wakuu hapa nashukuru sana kwa kunisanua aiseee khaaa kumbe nililia naenda siko kabisa.....

Sema weee kuna mtu ukimuona hata mambo ya kupima unasahau mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna uzi leo umeletwa kuwa almost asilimia 80 ya Watanzania wana HIV. Ni research imekuwa published kwenye journal moja huko Marekani.


Bahati mbaya naona JF wameufuta ule uzi uliletwa na Meneja Wa Makampuni labda atuwekee link ya hiyo journal.
Hizi ishu za UKIMWI nilianza kuchukulia serious mwaka 2009. Enzi nikiwa mdambi, Siku moja niko maeneo ya Njiro ile nafika geti dogo uhasibu nikakutana na manzi mmoja niliyekuwa nikimnunua sana pale Mrina. Nikamuuliza unafanya nini huku akajibu ametoka makaburini kumzika kahaba mwenzao. Ubaya ni kwamba marehemu kilichomuua ni ngoma na aliacha orodha ya watu anaojua kawaambukiza. Ile ishu ilileta mtikisiko mkubwa kwenye tasnia ya uzinzi Arusha. Wazinzi wengi wa wakati huo tuliweweseka. Tangu hiyo siku nikaanza kuacha habari za uzinzi hasa kununua malaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…