Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love 🤗

Katunze hako ntakuja kukahoji baadae kwenye kipindi cha mpira pale Efm ....asiutupe utz wake sasa maana naona amezungukwa na kina robert zelwisky
 
Happy birthday to him, mi nnatamani ningezaaga zamani niwe na chalii anaweza kunidrive nikienda misele yangu
 
Baba wabaya wapo..... kwa sisi tunaokaa kwenye jamii yenye muingiliano tunaona.
Kuna wale wababa akilipa ada akinunua chakula nyumbani imeisha hiyo. Lakini kuna wababa wapo karibu na watoto wao kiasi kwamba hata akisafiri kikazi unaona kabisa siku akirudi kuna nuru flani inang'aa kwa watoto (bongo hapahapa wala sio ulaya)
 
Katunze hako ntakuja kukahoji baadae kwenye kipindi cha mpira pale Efm ....asiutupe utz wake sasa maana naona amezungukwa na kina robert zelwisky
Thanks Gucci gang ....baadae ikifika ntamwambia Bravo atulete kwako kwaajili ya interview 😁😉

Hmmm Utzee tunaupenda ila tatizo kuwa Tzee yenyewe haitupendi so ......😏😏 Ila tutajitahidi!!🙂
 
Happy birthday to him, mi nnatamani ningezaaga zamani niwe na chalii anaweza kunidrive nikienda misele yangu
Asantee!!

Kuna raha ya kuwa na madogo ambao at some point wakishakuwa watu wanadhani ni wadogo zako 🤗🤗
 
Kama kufanya kosa sio kosa, wala usngejihukumu na kujiuliza maswali ya matendo ya ujana kama ulivyoyaita.
Tunakubaliana na matokeo kwa kuwa hakuna mbadala. Lea mwanao katika maadili mema, mengine itakuwa ni maamuzi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…