Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love 🤗

Well, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid.

Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana [emoji849][emoji849]) I got pregnant. Nikaamua kuwa if I was irresponsible enough to the point of getting pregnant at such a young age...I might as well start by holding myself accountable, so....I did!

Anyway, leo dogo anatimiza miaka kadhaa and I'm happy & proud I made the decision I made! No idea what will become of him 10 or 20 yrs mbeleni but right now....he is an awesome kid!![emoji4] Kanacheza sana mpira and he is the captain of his team[emoji1491][emoji1491] I honestly couldn't ask for better kids. [emoji56]

Happiest birthday to my little dude [emoji3060][emoji3060]
View attachment 1968720View attachment 1968721

Maybe one day (for the sake of educating & inspiring others) I'll write an autobiography nimwage ugali, mboga mpaka chai.[emoji2376][emoji2376]
Katunze hako ntakuja kukahoji baadae kwenye kipindi cha mpira pale Efm ....asiutupe utz wake sasa maana naona amezungukwa na kina robert zelwisky
 
Happy birthday to him, mi nnatamani ningezaaga zamani niwe na chalii anaweza kunidrive nikienda misele yangu
 
Mama mchungaji Yani hii ishu ya watoto ni nzito sana ☹️Sikuwahigi kuelewa mpka pale nilipowapata wale vijana aiseh

Baba ni baba hakuna baba mbaya..ila tunatokea kutamka maneno mabaya kwa baba watoto zetu kwakuwa moyo unakuwa umezingirwa na uchungu + hasira.Mungu atusaidie kwakweli
Baba wabaya wapo..... kwa sisi tunaokaa kwenye jamii yenye muingiliano tunaona.
Kuna wale wababa akilipa ada akinunua chakula nyumbani imeisha hiyo. Lakini kuna wababa wapo karibu na watoto wao kiasi kwamba hata akisafiri kikazi unaona kabisa siku akirudi kuna nuru flani inang'aa kwa watoto (bongo hapahapa wala sio ulaya)
 
Katunze hako ntakuja kukahoji baadae kwenye kipindi cha mpira pale Efm ....asiutupe utz wake sasa maana naona amezungukwa na kina robert zelwisky
Thanks Gucci gang ....baadae ikifika ntamwambia Bravo atulete kwako kwaajili ya interview 😁😉

Hmmm Utzee tunaupenda ila tatizo kuwa Tzee yenyewe haitupendi so ......😏😏 Ila tutajitahidi!!🙂
 
Happy birthday to him, mi nnatamani ningezaaga zamani niwe na chalii anaweza kunidrive nikienda misele yangu
Asantee!!

Kuna raha ya kuwa na madogo ambao at some point wakishakuwa watu wanadhani ni wadogo zako 🤗🤗
 
Well, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid.

Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana [emoji849][emoji849]) I got pregnant. Nikaamua kuwa if I was irresponsible enough to the point of getting pregnant at such a young age...I might as well start by holding myself accountable, so....I did!

Anyway, leo dogo anatimiza miaka kadhaa and I'm happy & proud I made the decision I made! No idea what will become of him 10 or 20 yrs mbeleni but right now....he is an awesome kid!![emoji4] Kanacheza sana mpira and he is the captain of his team[emoji1491][emoji1491] I honestly couldn't ask for better kids. [emoji56]

Happiest birthday to my little dude [emoji3060][emoji3060]
View attachment 1968720View attachment 1968721

Maybe one day (for the sake of educating & inspiring others) I'll write an autobiography nimwage ugali, mboga mpaka chai.[emoji2376][emoji2376]
Kama kufanya kosa sio kosa, wala usngejihukumu na kujiuliza maswali ya matendo ya ujana kama ulivyoyaita.
Tunakubaliana na matokeo kwa kuwa hakuna mbadala. Lea mwanao katika maadili mema, mengine itakuwa ni maamuzi yake.
 
Back
Top Bottom