Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love πŸ€—

Happy birthday kijana wa lizzy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani watu8 kwani unanini?
Tumuombee heri afunge ndoa ampate mtoto ndani ya ndoa.asipite huku tunakokusimulia sasa[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Watu huwa wanawanyoshea mikono wakati unapojulikana tu na ujauzito..watoto wakikua watu haohao huwa wa kwanza kuwatamani.
 
Nakuelewa vizuri mno mpenzi; wengine unakuta uchungu na hasira zote anazihamishia kwa watoto daah. Aisee kuachana sio kazi ndogo; hata kama hamna watoto. Mtu anapokuwa sehemu ya maisha yako, afu unaamka tu siku moja unatakiwa umuachilie na umsahau, uendelee na maisha yako mmh. Bora hata msipokuwa na watoto; usipokuwa unamuona au kuongea naye, roho inatulia; imagine mtu kakuumiza, hata hujapona na bado unatakiwa uendelee kuwasiliana naye kwa amani tu kwa ajili ya watoto wenu. Ukute mwingine mpuuzi, pamoja na kujishusha kwako kwa ajili ya watoto, bado anakuumiza aisee

Na hizi co-parenting zetu za kibongo ndiyo mtihani kabisa. Most likely mzazi wa kulea atabaki mmoja, na mwingine atalea zaidi kwa simu financially. Mzazi mwenza akishapata familia, mara nyingi concentration yoyote inahamia kwa familia anayoishi nayo; huku kwingine atapiga simu siku moja moja basi. Kazi kubwa inabaki kwa wewe uliyebaki na watoto; ndiyo maana kuna baadhi ya wazazi wanaamuaga kusitisha suala zima la mahusiano mapya/ndoa hadi pale watoto wanapokuwa wakubwa kidogo. Mungu atusaidie kukubaliana na hali zote, kusameheana na kuchukuliana kwa ajili ya welfare ya watoto wetu.
 
Mungu aendelee kumtunza baba wa watoto wangu aiseh Mungu azidi kumpa maisha marefu yenye furaha na amani huko alipoπŸ™Hatuwezi kuwa pamoja hata iweje...Haiwezekani .Mungu amtunze huyu kiumbe anajua thamani ya watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…