Hakuna kitu kama hicho mkuu.Haujasikia hata Epstein alikuwa ana perform ritual huko na matajiri wenzake !?
Uchawi upo , But uchawi mali na utajiri unaendana na knowledge upstairs
π labda inawezekana ni kwel mkuu, unajua kuna mda huwa nafikiri ukweli wa mtu labda upo kwenye fikra zake tuπ€Tumedanganyana miaka nenda rudi kuwa kuna nguvu za kufikrika zinazoweza kukupa mali na miujiza sasa ujiukize kama tuna ustadi huu kwa nini jamii ibaki kuwa makapuku.
ππ
πππ kwahiyo yakibadilika kuwa mekundu ndo utakuja badili msimamo wako?Naomba unifanyie muujiza wowote hapa maneno yangu yageuke kuwa mekundu.
Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi
Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku.
Hapa nina majini yangu mawili nimeambiwa nikiyafuga vizuri kufikia mwezi wa tatu nanunua kampuni ya sonny π
Fikra/ wazo ni complicated mkuu, huwa nikitembelea miji mkubwa duniani nikiangalia majengo makubwa na teknolojia za kutisha , naona kuna namna mawazo au fikra yanauwezo mkubwa sana kama hautayapa mipaka π€Napozidi kuwa mtu mzima na kupitia mengi ndio najua kuwa dunia ya mtu ni fikra zake.
HakikaFikra/ wazo ni complicated mkuu, huwa nikitembelea miji mkubwa duniani nikiangalia majengo makubwa na teknolojia za kutisha , naona kuna namna mawazo au fikra yanauwezo mkubwa sana kama hautayapa mipaka π€
Fanya muujiza secretarybird ageuke kuwa kuku, tofauti na hapo unapoteza muda kwa mambo hata wewe hauna uhakika nayoπππ kwahiyo yakibadilika kuwa mekundu ndo utakuja badili msimamo wako?