Eti wajerumani ni wachawi sana😆😆Acha uvivu, acha ushirikina.
Mbinu zinazoonekana na halisia ndio hutatua matatizo au changamoto.
Wekeza katika fikra halisia na sio za kufikirika.
Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku.
Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi.
Hakuna cha nyota kuchukuliwa wala sijui kufifia, kama umezaliwa kapuku au fikra finyu tegemea kufa kapuku labda uende outside of the box kuvunja matrix ilio kushikiria na sio kwenda kuchanjwa kwa mganga.
Mzungu kwenda mwezini ni jitihada zilizofanyika miongo na miongo ila wewe unataka ufuge majini ya pesa utajirike kama mkinga ndani ya miaka 2😁
Mkuu naogopa kutaga mayai 😂.Fanya muujiza secretarybird ageuke kuwa kuku, tofauti na hapo unapoteza muda kwa mambo hata wewe hauna uhakika nayo
Kuna namna tukiwa wadogo , yale mawazo na maswali yetu yanayosekana ni ya kitoto yalikua bora mno , tulipo kuja mezwa kwenye matrix ndio ikawa basi tena🤔Hakika
Its like this,
Mzungu aliamua kuwekeza katika kutatua changamoto katika mbinu za kushikika na halisia ila sisi hadi leo tunafanya vice versa.
Mzungu alifanya kujichallenge ikawa ndio jadi na utamaduni wake, yani akitengeneza panga baada ya miaka atattengeneza bunduki then bomu then so and so
So stori ya mzungu its about investing in his thoughts by employing tangible measures
Mimi ninachokijua nakijua, nisichokijua sikitilii maanani. Ila siwezi kusema hakipoFanya muujiza secretarybird ageuke kuwa kuku, tofauti na hapo unapoteza muda kwa mambo hata wewe hauna uhakika nayo
🤣
Ushawahi kufanyia uchunguzi suala hilo mkuu ili kujua kama kweli upo huo uwezakano wa hizo nguvu za kumpa mtu mali lakini kwanini jamii iwe na makapuku au kuchunguza na kugundua hakuna ukweli wa uwepo wa hiyo nguvu?Tumedanganyana miaka nenda rudi kuwa kuna nguvu za kufikrika zinazoweza kukupa mali na miujiza sasa ujiukize kama tuna ustadi huu kwa nini jamii ibaki kuwa makapuku.
I concur.Kuna namna tukiwa wadogo , yale mawazo na maswali yetu yanayosekana ni ya kitoto yalikua bora mno , tulipo kuja mezwa kwenye matrix ndio ikawa basi tena🤔
Bado hujui mambo chief naukubali uwezo wako wa kufikiri lakini Kwa hiki ulicho kiandika inadhihirisha wazi kwamba sio Kila mtu anaweza kuwa na ufahamu wa Kila kituHakuna kitu kama hicho mkuu.
Rituals zipo nyingi sana na zinafanyika sana, na huwa zinafanyika kama kutengeneza muunganiko wenu uwe wa pamoja au kupokea mgeni mpya
Lakini sio eti rituals za kupata nguvu kwa namna ya kichawi
Epstein alikuwa analala na watoto wadogo kama sehemu ya Ibada ya kishirikina.Haujasikia hata Epstein alikuwa ana perform ritual huko na matajiri wenzake !?
Uchawi upo , But uchawi mali na utajiri unaendana na knowledge upstairs
I concur.
Watemi waliwajua wagagnga wa jadi maarufu mbona hawakuwasaidia kushinda wazungu
Mzungu alitushinda kutokana mbinu na teknolojia..
Tatizo we dont learn from our history, tunaitumia kujibia mitihani ya form 4
Mimi nadhani hadi sasa kusingekuwa na waganga au tuseme wangebaki wachache mno, kwa sababu kama watu wanaenda kwa waganga ili kupata suluhisho la matatizo yao au kufanikisha mambo yao wanayoyataka ila ikawa hakuna kinachofanikiwa basi ile hali ya watu kwenda kwa waganga ingepotea kwa sababu hakipatikani kile wanachokitaka.Kwahyo waganga wa jadi hawana maana.
Hao wanachinja watoto wadogo wale watoto wanao potea. Unajua Kings Solomon sababu ya mafanikio yake kubwa ni kutumia viumbe vyengine kwenye maendeleo yake.Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku.
Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi.
Wewe unaejua mambo leta hapa evidence kuwa kuna njia za kufanya ukapata mali kimijiuza tofauti na hapo wewe ni mtazama blog za porno na kusoma vile vi-ad vinavyojitokeza "epstein was lucifer's right hand man"Bado hujui mambo chief naukubali uwezo wako wa kufikiri lakini Kwa hiki ulicho kiandika inadhihirisha wazi kwamba sio Kila mtu anaweza kuwa na ufahamu wa Kila kitu
Katika hili Naomba ufahamu kwamba Katika nyanja ya hayo mambo bado haujui kitu ,
SawaWewe unaejua mambo leta hapa evidence kuwa kuna njia za kufanya ukapata mali kimijiuza tofauti na hapo wewe ni mtazama blog za porno na kusoma vile vi-ad vinavyojitokeza "epstein was lucifer's right hand man"
😁😁 Ndugu nakuonea huruma sana sio kwamba una tabu ila una shida sanaHao wanachinja watoto wadogo wale watoto wanao potea. Unajua Kings Solomon sababu ya mafanikio yake kubwa ni kutumia viumbe vyengine kwenye maendeleo yake.
Acha blaaah blaah nyingiBora umwambie wewe
Mimi naishi katika mazingira ya ulimwengu ambao nikimueleza anaweza asiamini hata robo na yote ambayo now Ninayo yashuhudia wakati nahadithiwa zamani nilikuwa Nina Ona kwamba ni story tu za vijiweni
Nyieeee Dunia inatisha
Haujasikia hata Epstein alikuwa ana perform ritual huko na matajiri wenzake !?
Uchawi upo , But uchawi mali na utajiri unaendana na knowledge upstairs
Mkuu kuna mahali nliona na wewe unapinga uwepo wa Mungu, kinachonshangaza hapa una amini uchawi upo.... hii imekaaje mkuuBado hujui mambo chief naukubali uwezo wako wa kufikiri lakini Kwa hiki ulicho kiandika inadhihirisha wazi kwamba sio Kila mtu anaweza kuwa na ufahamu wa Kila kitu
Katika hili Naomba ufahamu kwamba Katika nyanja ya hayo mambo bado haujui kitu ,