Kuna wakati wabongo walitaka kutuaminisha na hii kauli "hata hao wazungu wana uchawi wao"

Kuna wakati wabongo walitaka kutuaminisha na hii kauli "hata hao wazungu wana uchawi wao"

Kiukweli hayo mambo na umri wangu nayasikia tu watu wanasema , bi mkubwa ana miaka 80 nae nilishawahi mhoji nae ana yasikia tu , na bibi yangu kazeeka hata kiswahili hajui vizuri nae nilimhoji nae anasikia tu wala hajawahi shuhudia 😁 , labda tumuulize Mjusi Sharobalo
Ni utapeli mkuu.

A mind is mystery

Ndio maana watu wanaamini mara freemason wanasiliana na shetani sijui nini wala nini hakuna kitu kama hicho mkuu.

Hata umfukue babu kizaa babu atakuambia hivyo hivyo alivyokuambia bibi yako
 
Bora umwambie wewe

Mimi naishi katika mazingira ya ulimwengu ambao nikimueleza anaweza asiamini hata robo na yote ambayo now Ninayo yashuhudia wakati nahadithiwa zamani nilikuwa Nina Ona kwamba ni story tu za vijiweni

Nyieeee Dunia inatisha
Maneuvering involve mind games illusion
 
Mkuu kuna mahali nliona na wewe unapinga uwepo wa Mungu, kinachonshangaza hapa una amini uchawi upo.... hii imekaaje mkuu
Mungu hayupo ndio na huo sio uchawi halafu mungu na uchawi vinahusianaje !?
 
Kiukweli hayo mambo na umri wangu nayasikia tu watu wanasema , bi mkubwa ana miaka 80 nae nilishawahi mhoji nae ana yasikia tu , na bibi yangu kazeeka hata kiswahili hajui vizuri nae nilimhoji nae anasikia tu wala hajawahi shuhudia , labda tumuulize Mjusi Sharobalo
Hata mimi nimewahi kukaa na bibi yake baba kutaka dodoso kidogo kuhusu hayo mambo hakuwahi kuyaona, labda yalikuwepo sehemu zilizo kuwa na masilahi mapana zaidi kwa hao watu.
 
Acha blaaah blaah nyingi

Fanya ritual moja hapa vijana wa JF wawe matajiri kama epstein tuanze kutafuna watoto
Ndio hivyo inavyo fanyika kwamba ukitaka kufanyiwa unafanyiwa tu !? 😄😄

So sikila mtu angekuwa ana shirikiana na Epstein!???
 
Ndugu kufanya kazi kwa bidii haukupi tajir cc
Kipi chenye kuweza kumfanya mtu kuwa tajiri? Kwa sababu watu washafanya mengi, hata hao wenye kwenda kwa waganga ili kupata utajiri wengine ni kutokana na kufanya mengi tu ila bado hawajapata huo utajiri.
 
Ni utapeli mkuu.

A mind is mystery

Ndio maana watu wanaamini mara freemason wanasiliana na shetani sijui nini wala nini hakuna kitu kama hicho mkuu.

Hata umfukue babu kizaa babu atakuambia hivyo hivyo alivyokuambia bibi yako
Mtu anakuaminisha uwepo wa uchawi mpaka anataka kulia 😃
 
Mungu hayupo ndio na huo sio uchawi halafu mungu na uchawi vinahusianaje !?
Utaonekana mtu mwenye upeo mdogo sana yan huamini uwepo wa Mungu ila una aminI uchawi upo
Kwa mtu mwenye kufikiri sawa sawa, akiwa haamini uwepo wa Mungu hata uchawi pia atakua haamini.
 
Mtu anakuaminisha uwepo wa uchawi mpaka anataka kulia 😃
😂😂 Atalia hadi afe.

Kama ana hasira afanye matunguri atuxhukue atupeleke marsa kabla elon muskk haajatia mguu

Tofaut na hapo ni muvi za kinaijeria
 
Utaonekana mtu mwenye upeo mdogo sana yan huamini uwepo wa Mungu ila una aminI uchawi upo
Kwa mtu mwenye kufikiri sawa sawa, akiwa haamini uwepo wa Mungu hata uchawi pia atakua haamini.
Nadhani ni kawaida watu wote wenye Akili kubwa kuonekana hawana Akili na watu wenye Akili ndogo so sikushangai

Nazungumza mambo ambayo yapo beyond your knowledge na hauwezi kunielewa so nitajichosha
 
😂😂 Atalia hadi afe.

Kama ana hasira afanye matunguri atuxhukue atupeleke marsa kabla elon muskk haajatia mguu

Tofaut na hapo ni muvi za kinaijeria
Kuna kipindi nilikua napata sana half sleep paralysis, nikawa nikilala naona kama nakabwa na wachawi koromeo 😁 , nilivyokuja gundua undani wa hicho kitendo akili ya kuona ni uchawi ikapotea, nikawa natulia tu na enjoy lucid dreams😅
 
Utaonekana mtu mwenye upeo mdogo sana yan huamini uwepo wa Mungu ila una aminI uchawi upo
Kwa mtu mwenye kufikiri sawa sawa, akiwa haamini uwepo wa Mungu hata uchawi pia atakua haamini.
Hayo ndio mambo ya personal experiences, kuna watu hawaamini Mungu ila wanaamini uwepo wa ghosts na kuna watu hawaamini ghost ila wanaamini Mungu.
 
Back
Top Bottom