Kuna wakati wabongo walitaka kutuaminisha na hii kauli "hata hao wazungu wana uchawi wao"

Kwahiyo kwa maelezo hayo placebo effect ni sawa na panado tu ndio mipaka yake inapoishia?
Placebo inagemegea akili na imani ya mgonjwa kwa sababu athari zake ni kwenye saikolojia ya mgonjwa

Na panadoli inagetegea ingredients zake kutuliza maumivu kutoka kwenye sehemu inayouma mpaka kwenye ubongo
 
Hiyo miujiza ya pesa za majini mara sijui mtu kupaa ma ungo halafu ni apeche alolo tu na hakuna impact yoyote ni hadithi za sungura na fisi tu kwenye vijiwe vya kahawa
Sasa mkuu wewe binafsi ushawahi kufanyia uchunguzi hayo mambo ya pesa za majini ukajua ukweli kutokana uchunguzi uliyofanya au ndio kwa kuangalia waganga na wachawi ni masikini basi inatosha kuhitimisha kuwa hizo ni hadithi tu?
 
Placebo inagemegea akili na imani ya mgonjwa kwa sababu athari zake ni kwenye saikolojia ya mgonjwa

Na panadoli inagetegea ingredients zake kutuliza maumivu kutoka kwenye sehemu inayouma mpaka kwenye ubongo
Ni sawa sawa kwa maana si zote zinaishia kutuliza maumivu tu?
 
Sasa mkuu wewe binafsi ushawahi kufanyia uchunguzi hayo mambo ya pesa za majini ukajua ukweli kutokana uchunguzi uliyofanya au ndio kwa kuangalia waganga na wachawi ni masikini basi inatosha kuhitimisha kuwa hizo ni hadithi tu?
Yeah
 
Ulifanya vp huo uchunguzi wako na matokeo ya uchunguzi ni upi yani uhalisia upoje wa hilo jambo?
Hakuna pesa za majini ni ujinga na blabla tu za kukosa maarifa , unasema pesa za majini na huna hizo pesa wewe si mwehu
 
Acha uvivu, acha ushirikina.

Mbinu zinazoonekana na halisia ndio hutatua matatizo au changamoto.

Wekeza katika fikra halisia na sio za kufikirika.

Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku.

Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi.

Hakuna cha nyota kuchukuliwa wala sijui kufifia, kama umezaliwa kapuku au fikra finyu tegemea kufa kapuku labda uende outside of the box kuvunja matrix ilio kushikiria na sio kwenda kuchanjwa kwa mganga.

Mzungu kwenda mwezini ni jitihada zilizofanyika miongo na miongo ila wewe unataka ufuge majini ya pesa utajirike kama mkinga ndani ya miaka 2😁
Ninakubaliana na wewe 100%.
Ila ningependa kuweka mwanga kwenye hii ishu umeongelea.
Kufanikiwa ni siri kubwa sana. Kwa sababu ni vigumu sana kutokukata tamaa pale unapofeli zaidi ya mara moja...inahitaji imani ya hali ya juu, au ikiwezekana hata uchiz flan kuamin kufanya kitu ambacho kila mtu anajua hakiwezekani na mwisho wa siku pamoja na changamoto zote ukatoboa, mfano kwenda mwezini.
So kuna element ya imani, resilience , will power au tuseme psychological ina play part kubwa sana kwenye kufanikiwa sehem yoyote ile...
Sasa asilimia kubwa ya Waganga nk sio watu waliosoma na wengi wamerithishwa tu huo ujuzi bila kuuliza deeply maana halisi ya wanachokifanya na jinsi gani hasa vinafanya kazi ila ninataka kukuhakikishia kuwa asilimia 98 ya uganga na rituals wanazofanya ni psychological au mental manipulation zinazosaidia watu wajitume, waondoe uoga, wajaribu tena hata baada ya kufail na kujiamini.
Nitakupa mfano.
Mtu anaenda kwa mganga anapewa dawa ya kuoga aondoe mikosi , anaambiwa aoge asubuh na usiku.
Ukienda kwa psychologist atakuambia namna ya kufikia lengo lolote ni lazima uanze kuweka maisha yako in order,(Order vs Chaos) :-ni concept pana ila inaonyesha psychologically usipokua kwenye mpangilio hata physically hautakua kwenye mpangilio pia na kubadilisha kimoja kunaweza kubadilisha kingine eg ushaona chumba kiko rough, mambo hayaendi, nywele unachana unazivuruga bila kujua, ukiandika mwandiko unakua rough? au unagombana na mtu asubuhi na kila kitu kinaenda vibaya siku hiyo, unajiwangia soda, unajigonga mlangoni, simu inaisha charge muda una maongezi mazuri(downward spiral )
Sasa kurudi kwenye point ya mganga anayekupa masharti nje ya imani za superstitions, cha kwanza kinachofanyika ni kuweka maisha yako kwenye order...utaoga asubuh utaoga usiku(kitu ambacho usingefanya kama una depression au umejikatia tamaa). Baada ya dawa khisha hata kama haijafanya kitu supernatural imekubadilisha to the point utaanza kuona matokeo chanya kwenye maisha.
Ntakueleza kwanini viongozi wakubwa duniani, au hata wachawi wanasemekana wanakula nyama za watoto au kubaka watoto...mmoja nimeona ametolea mfano wa Epstein .
Hizi ritual wanazofanya hata kama kuna satanic elements ila ni psychological 98%.
To be the best you have to think you are the best, you have to be a wolf na wengine uwaone ni kondoo, inabidi ujione simba na kila mtu ni swala..
hiyo confidence hata kama ni delusional itakupush mbali sana na kila unayekutana naye atafeel huyu sio mtu wa kuchezea.. so hizo ritual ni kwa ajili ya power( wapate nguvu)
Emagine mtu yuko above moral principles anakula binadamu mwenzake kama kuku...if he walks like predator anajijua yeye ni predator kwli na yupo on top of food chain, top above humans as top most predator.

Imagine confidence, kiburi, kukosa utu na huruma huyo mtu aliyonayo ?
na hizo ndio traits za powerful people zipo hapo kwa sababu zinadetermine success kuliko kuwa mtu mwema.

So hizi rituals mbaya za kichawi na kiganga...ni dark ways to turn your psychology into bullets proof, killer na apex predator na once uko hvo chance ya kufanikiwa ni kubwa.

Ndio maana ninakubaliana na wewe 100%, watu wajitume na wapange ili wapate mafanikio...ila kama unaweza kutrick ubongo wako ukaamini zamu yako inakuja Mungu ni mpaji na ikakufanya usikate tamaa then usiache, kama kufeel the best in game inabidi ukae na watu waliokuzidi fanya hvyo(japo same thing mganga kwa elimu yake atakuambia unatumia nyota zao) ila vyovyote point ni kuwa na killer instinct, tremendous self belief, na 20% ya delusion.
Asante .
 
Mtazamo wa imani hizi unaweza kufelisha na kufanya watu wazidi kubaki gizani zaidi , tembelea tu vijiji vya Tanzania vile vyenye imani kali za ushirikina utaleta mrejesho.
 
Ccm wakisikia hivi watakuteka
 
Mtazamo wa imani hizi unaweza kufelisha na kufanya watu wazidi kubaki gizani zaidi , tembelea tu vijiji vya Tanzania vile vyenye imani kali za ushirikina utaleta mrejesho.
Unafikiri kaka, watu wa kijijini wanataka utajiri kama wewe uliyesoma na ukatembea? wale watu wanaamini nguvu za kichawi ndio kila kila kitu kwao...hata akipata pesa kiasi gani, ataenda kununulia uchawi...sio tu kwamba uchawi unawafanya wawe maskini, ila priority zao ni kuwa na uchawi zaid ya rafiki ake...
 
Dhana ya uchawi ni ya kijinga tu , ungekuta mpka leo tuna amini magonjwa fulani ni kulogwa au laana ya miungu tu
 
Nakubaliana na wewe...na ninasikitikia sana watu wenye hzo imani...ndio maana nimejaribu kuonyesha kuwa asilimia kubwa ni psychology na sio miungu au upumbav mwingine...ni kwa sababu hawajasoma so ishu za kisaikolojia au sayansi wanavitafsiri kwa ujinga wao
 
Ninakubaliana na wewe 100%.
Ila ningependa kuweka mwanga kwenye hii ishu umeongelea.
Kufanikiwa ni siri kubwa sana. Kwa sababu ni vigumu sana kutokukata tamaa pale unapofeli zaidi ya mara moja...inahitaji imani ya hali ya juu, au ikiwezekana hata uchiz flan kuamin kufanya kitu ambacho kila mtu anajua hakiwezekani na mwisho wa siku pamoja na changamoto zote ukatoboa, mfano kwenda mwezini.
So kuna element ya imani, resilience , will power au tuseme psychological ina play part kubwa sana kwenye kufanikiwa sehem yoyote ile...
Sasa asilimia kubwa ya Waganga nk sio watu waliosoma na wengi wamerithishwa tu huo ujuzi bila kuuliza deeply maana halisi ya wanachokifanya na jinsi gani hasa vinafanya kazi ila ninataka kukuhakikishia kuwa asilimia 98 ya uganga na rituals wanazofanya ni psychological au mental manipulation zinazosaidia watu wajitume, waondoe uoga, wajaribu tena hata baada ya kufail na kujiamini.
Nitakupa mfano.
Mtu anaenda kwa mganga anapewa dawa ya kuoga aondoe mikosi , anaambiwa aoge asubuh na usiku.
Ukienda kwa psychologist atakuambia namna ya kufikia lengo lolote ni lazima uanze kuweka maisha yako in order,(Order vs Chaos) :-ni concept pana ila inaonyesha psychologically usipokua kwenye mpangilio hata physically hautakua kwenye mpangilio pia na kubadilisha kimoja kunaweza kubadilisha kingine eg ushaona chumba kiko rough, mambo hayaendi, nywele unachana unazivuruga bila kujua, ukiandika mwandiko unakua rough? au unagombana na mtu asubuhi na kila kitu kinaenda vibaya siku hiyo, unajiwangia soda, unajigonga mlangoni, simu inaisha charge muda una maongezi mazuri(downward spiral )
Sasa kurudi kwenye point ya mganga anayekupa masharti nje ya imani za superstitions, cha kwanza kinachofanyika ni kuweka maisha yako kwenye order...utaoga asubuh utaoga usiku(kitu ambacho usingefanya kama una depression au umejikatia tamaa). Baada ya dawa khisha hata kama haijafanya kitu supernatural imekubadilisha to the point utaanza kuona matokeo chanya kwenye maisha.
Ntakueleza kwanini viongozi wakubwa duniani, au hata wachawi wanasemekana wanakula nyama za watoto au kubaka watoto...mmoja nimeona ametolea mfano wa Epstein .
Hizi ritual wanazofanya hata kama kuna satanic elements ila ni psychological 98%.
To be the best you have to think you are the best, you have to be a wolf na wengine uwaone ni kondoo, inabidi ujione simba na kila mtu ni swala..
hiyo confidence hata kama ni delusional itakupush mbali sana na kila unayekutana naye atafeel huyu sio mtu wa kuchezea.. so hizo ritual ni kwa ajili ya power( wapate nguvu)
Emagine mtu yuko above moral principles anakula binadamu mwenzake kama kuku...if he walks like predator anajijua yeye ni predator kwli na yupo on top of food chain, top above humans as top most predator.

Imagine confidence, kiburi, kukosa utu na huruma huyo mtu aliyonayo ?
na hizo ndio traits za powerful people zipo hapo kwa sababu zinadetermine success kuliko kuwa mtu mwema.

So hizi rituals mbaya za kichawi na kiganga...ni dark ways to turn your psychology into bullets proof, killer na apex predator na once uko hvo chance ya kufanikiwa ni kubwa.

Ndio maana ninakubaliana na wewe 100%, watu wajitume na wapange ili wapate mafanikio...ila kama unaweza kutrick ubongo wako ukaamini zamu yako inakuja Mungu ni mpaji na ikakufanya usikate tamaa then usiache, kama kufeel the best in game inabidi ukae na watu waliokuzidi fanya hvyo(japo same thing mganga kwa elimu yake atakuambia unatumia nyota zao) ila vyovyote point ni kuwa na killer instinct, tremendous self belief, na 20% ya delusion.
Asante .
Aiseeeeeeee

JF INA VICHWA

mcTobby
min -me
dosho12
secretarybird
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Nakubaliana na wewe...na ninasikitikia sana watu wenye hzo imani...ndio maana nimejaribu kuonyesha kuwa asilimia kubwa ni psychology na sio miungu au upumbav mwingine...ni kwa sababu hawajasoma so ishu za kisaikolojia au sayansi wanavitafsiri kwa ujinga wao
Hichi ndiicho nilicho waaambia tangu jana kuwa everything begins in the mind,

Unaweza kuwa maiskini au kuwa tajiri kwa namna unavyo exercise mind yako
 
Watu wapo vizuri upstairs sema tu hawa watoto watoto vilivyo join kuzi hapa vinachafua tu Hali ya hewa jf 🤣
Mimi nimewaaambia wafanye muujiza wowote hapa ila wnaaleta vistori vingi vya kufikirka😆😆
 
Back
Top Bottom