Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
sio za Siri utapewa tu hints na njia ya kupitaHizo mbinu ni za siri?
sio za Siri utapewa tu hints na njia ya kupitaHizo mbinu ni za siri?
Bigger brainHayo ndio mambo ya personal experiences, kuna watu hawaamini Mungu ila wanaamini uwepo wa ghosts na kuna watu hawaamini ghost ila wanaamini Mungu.
kwa mwanadamu.Trick Toka Kwa nani !?
😁Kuna kipindi nilikua napata sana half sleep paralysis, nikawa nikilala naona kama nakabwa na wachawi koromeo 😁 , nilivyokuja gundua undani wa hicho kitendo akili ya kuona ni uchawi ikapotea, nikawa natulia tu na enjoy lucid dreams😅
Yeah akili huwa inatabia ya kukuletea kile unacho kitaka , mimi ninazo hadithi sana za kutisha na ni mahiri sana kwenye kusimulia kwa mdomo , huwa nikiwa na marafiki mida ya kigiza huko kijiji kwetu nasimulia , watu wakienda kulala lazima waone mauza uza , kuna wengine mpaka wanaogopa kabisa hata kurudi makwao😅
Si ndio hayo mambo ambayo yanaelezwa sana na watu huyatekeleza ila mwishoni hakuna utajiri wanaopata, na ndio maana kuna mtazamo wa kwamba utajiri ni siri na tajiri hawezi kukwambia.sio za Siri utapewa tu hints na njia ya kupita
Mkuu unaelezea mambo negative kuhusu vile akili inavyoweza kukuletea unachokitaka, vp kwa upande wa mambo positive.Yeah akili huwa inatabia ya kukuletea kile unacho kitaka , mimi ninazo hadithi sana za kutisha na ni mahiri sana kwenye kusimulia kwa mdomo , huwa nikiwa na marafiki mida ya kigiza huko kijiji kwetu nasimulia , watu wakienda kulala lazima waone mauza uza , kuna wengine mpaka wanaogopa kabisa hata kurudi makwao😅
Nilieleza post ya juu kuhusu teknolojia kubwa za kidunia jinsi nguvu ya wazo / fikra ilivyo fanya kazi.Mkuu unaelezea mambo negative kuhusu vile akili inavyoweza kukuletea unachokitaka, vp kwa upande wa mambo positive.
Na ile ya kusafishwa mtaro tunaiweka kwenye kundi gani?Acha uvivu, acha ushirikina.
Mbinu zinazoonekana na halisia ndio hutatua matatizo au changamoto.
Wekeza katika fikra halisia na sio za kufikirika.
Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku.
Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi.
Hakuna cha nyota kuchukuliwa wala sijui kufifia, kama umezaliwa kapuku au fikra finyu tegemea kufa kapuku labda uende outside of the box kuvunja matrix ilio kushikiria na sio kwenda kuchanjwa kwa mganga.
Mzungu kwenda mwezini ni jitihada zilizofanyika miongo na miongo ila wewe unataka ufuge majini ya pesa utajirike kama mkinga ndani ya miaka 2😁
Kashaharibu masharti si tuliambiwa tusitangaze 🤣Hapa nina majini yangu mawili nimeambiwa nikiyafuga vizuri kufikia mwezi wa tatu nanunua kampuni ya sonny 😎
Dah! Nilisahau, tushakosa utajiri 😫😁Kashaharibu masharti si tuliambiwa tusitangaze 🤣
Hayo ni mambo makubwa si vitu ambavyo yeyote tu anaweza kuexperience vile akili inavyoweza kukupa unachotaka.Nilieleza post ya juu kuhusu teknolojia kubwa za kidunia jinsi nguvu ya wazo / fikra ilivyo fanya kazi.
OK viseme hivyo vitu sasaHayo ni mambo makubwa si vitu ambavyo yeyote tu anaweza kuexperience vile akili inavyoweza kukupa unachotaka.
Ndoto njema😄Hapa nina majini yangu mawili nimeambiwa nikiyafuga vizuri kufikia mwezi wa tatu nanunua kampuni ya sonny 😎
Ni mambo ya subconsious mind. Mfano mfaransa Émile Coué ambaye alikuwa pharmacist na psychologist, kupitia method yake ya Autosuggestion alikuwa akisaidia watu kujitibu changamoto mbalimbali za kiafya kwa kutumia affirmation tu.OK viseme hivyo vitu sasa
Shida ni kwamba wanaofanikiwa tunasema ndio wamefuata sheria na kanuni ila wasipofanikiwa tunaona hawajafuata hizo sheria na kanuni.Success need you to follow laws and principles.
Wazungu sapo vizur kwenye hili . Waafrica wachache wanaofanikiwa kwa kufuata sheris ns kanuni.
Wengi wanajaribu shortcut ils haisaidii
Placebo effectNi mambo ya subconsious mind. Mfano mfaransa Émile Coué ambaye alikuwa pharmacist na psychologist, kupitia method yake ya Autosuggestion alikuwa akisaidia watu kujitibu changamoto mbalimbali za kiafya kwa kutumia affirmation tu.