Hata kipindi hiko wapo waliyokuwa wakisema ni placebo effect sasa sijajua wewe umetaja placebo effect ili kukusudia nini, kikubwa ni kwamba kulikuwa na mafanikio makubwa kwenye kile alichokuwa akikifanya mpaka wengine wakamuona kama ni mtenda miujiza ila yeye alikuwa akisema yeye si mtenda miujiza wala hana special power yeyote, kila mtu anaweza kujifunza anachokifanya maana ni issue ya mental power ya mtu mwenyewe.Placebo effect
Kwamba placebo effect inatubu mpka saratani?Hata kipindi hiko wapo waliyokuwa wakisema ni placebo effect sasa sijajua wewe umetaja placebo effect ili kukusudia nini, kikubwa ni kwamba kulikuwa na mafanikio makubwa kwenye kile alichokuwa akikifanya mpaka wengine wakamuona kama ni mtenda miujiza ila yeye alikuwa akisema yeye si mtenda miujiza wala hana special power yeyote, kila mtu anaweza kujifunza anachokifanya maana ni issue ya mental power ya mtu mwenyewe.
Kwahiyo kama nguvu ya fikra imeweza kufanya mambo makubwa kama ya teknolojia pia huweza kufanya mengine mengi tu kama haya ya uponyaji.
Binafsi naamini kwenye mwili kujiponya wenyewe pasina dawa, kuna namna nime set nguvu yangu ya fikra kuna nyakati naumwa ila situmii dawa wala kwenda hospitali.
Tunaelewa vizuri sana maana sie wengine tunajipa muda wa kujifunza ili kuelewa vizuri hata yale mambo ambayo hatuyaamini au tunayapinga.😂🤣😂😂🤣🤣
Vijana hawataki kuelewa
Mkuu kama una kiri kwamba nguvu ya fikra imeweza kufanya mambo makubwa yenye kushangaza kwenye teknolojia, kipi ambacho wewe kinakufanya utilie mashaka kwenye upande wa tiba? Umewahi kumsikia Dr. Joe Dispenza na anayoyafanya kwenye tiba kupitia hiyo placebo effect ? Shida ni kwamba ni rahisi kwenu kukubali athari za nocebo effect kuliko placebo effect.Kwamba placebo effect inatubu mpka saratani?
Nakuelewa vizuri tu , mwenyewe nafanya meditation sana tu , Dr Joe dispenza shuhuda zake nimezifuatilia hasa kuhusu nguvu ya fikra na meditation.Mkuu kama una kiri kwamba nguvu ya fikra imeweza kufanya mambo makubwa yenye kushangaza kwenye teknolojia, kipi ambacho wewe kinakufanya utilie mashaka kwenye upande wa tiba? Umewahi kumsikia Dr. Joe Dispenza na anayoyafanya kwenye tiba kupitia hiyo placebo effect ? Shida ni kwamba ni rahisi kwenu kukubali athari za nocebo effect kuliko placebo effect.
Aiseeee bongo bado sanaaEpstein alikuwa analala na watoto wadogo kama sehemu ya Ibada ya kishirikina.
Na hio meditation haifanyi muujiza wowote hapa dunianiNakuelewa vizuri tu , mwenyewe nafanya meditation sana tu , Dr Joe dispenza shuhuda zake nimezifuatilia hasa kuhusu nguvu ya fikra na meditation.
Tatizo sio kwamba placebo effect ipo , tatizo ni mipaka yake katika utendaji
Naunga hoja yako mkono , japo binafsi naona hata hapa tunavyochati mimi nipo huku namtumbo wewe huko Daslamu ni muujiza tu, sema akili imeshachukulia kawaida tuNa hio meditation haifanyi muujiza wowote hapa duniani
Ila technique ya kutuliza fikra, mihemuko na sharpen mind yako kupelekea wewe mbinafsi kuwa sharp na effective katika maamuzi na mahusiano na pia reaction ya mambo
Kwahiyo wewe mkuu unaona placebo effect inaweza kuwa na msaada gani kwenye utendaji wake na mipaka yake inaishia kwenye nini?Nakuelewa vizuri tu , mwenyewe nafanya meditation sana tu , Dr Joe dispenza shuhuda zake nimezifuatilia hasa kuhusu nguvu ya fikra na meditation.
Tatizo sio kwamba placebo effect ipo , tatizo ni mipaka yake katika utendaji
Hhaaha ni teknolijia ambayo ukiangalia ni zao la kitu ambacho kimefanyiwa kazi decades and decades kwa vitu vinavyoshikika na halisia.Naunga hoja yako mkono , japo binafsi naona hata hapa tunavyochati mimi nipo huku namtumbo wewe huko Daslamu ni muujiza tu, sema akili imeshachukulia kawaida tu
Hhaaha ni teknolijia ambayo ukiangalia ni zao la kitu ambacho kimefanyiwa kazi decades and decades kwa vitu vinavyoshikika na halisia.Naunga hoja yako mkono , japo binafsi naona hata hapa tunavyochati mimi nipo huku namtumbo wewe huko Daslamu ni muujiza tu, sema akili imeshachukulia kawaida tu
Cha kushangaza hata hizo faida unazoeleza hapo za meditation zilikuwa zikipingwa huko nyuma, mpaka teknolojia ilipokuwa ndio ikawezekana kupatikana vifaa vya kuweza kufanyia uchunguzi katika hiyo meditation na kugundulika faida zinazopatikana kwa mtu kufanya meditation.Na hio meditation haifanyi muujiza wowote hapa duniani
Ila technique ya kutuliza fikra, mihemuko na sharpen mind yako kupelekea wewe mbinafsi kuwa sharp na effective katika maamuzi na mahusiano na pia reaction ya mambo
Placebo effect, ina athiri zaidi hali ya mgonjwa hasa kwenye dalili , mfano unaumwa UTI placebo effect inaweza kusaidia kwnye kuondoa dalili za kumwa kichwa , kiuno na hata homa , ila sio kumuua E .Coli ndani ya mwili .Kwahiyo wewe mkuu unaona placebo effect inaweza kuwa na msaada gani kwenye utendaji wake na mipaka yake inaishia kwenye nini?
Hiyo miujiza ya pesa za majini mara sijui mtu kupaa ma ungo halafu ni apeche alolo tu na hakuna impact yoyote ni hadithi za sungura na fisi tu kwenye vijiwe vya kahawaHhaaha ni teknolijia ambayo ukiangalia ni zao la kitu ambacho kimefanyiwa kazi decades and decades kwa vitu vinavyoshikika na halisia.
Ila sio kuwa elon musk alilala na ma mma yake jini likampa nguvu ya kupaisha rockrts kwnnda mars😁
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯Placebo effect, ina athiri zaidi hali ya mgonjwa hasa kwenye dalili , mfano unaumwa UTI placebo effect inaweza kusaidia kwnye kuondoa dalili za kumwa kichwa , kiuno na hata homa , ila sio kumuua E .Coli ndani ya mwili .
Hapa hufanya kuathiri saikolojia ya mgonjwa kupitia neurobiology na sio miujiza.
Kwanini?Uchawi unaofanya kazi ni ule wa kwenye mapenzi tu. Kuhusu utajiri ni juhudi zako binafsi.
Kwahiyo kwa maelezo hayo placebo effect ni sawa na panado tu ndio mipaka yake inapoishia?Placebo effect, ina athiri zaidi hali ya mgonjwa hasa kwenye dalili , mfano unaumwa UTI placebo effect inaweza kusaidia kwnye kuondoa dalili za kumwa kichwa , kiuno na hata homa , ila sio kumuua E .Coli ndani ya mwili .
Hapa hufanya kuathiri saikolojia ya mgonjwa kupitia neurobiology na sio miujiza.