Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Yaani mimi binafsi,ninasomesha wanangu,shule za watoto ninatafuta mwenyewe,ninalipa bill zote nk.Yaani Sometimes huwa ninajiambia mimi ni mwanaume kasoro viungo vya jinsia tu.
 
Amejaribu kuonesha Maumivu yake kupitia Kikao, alishaleta dharau nyingi sana kwa Mumewe lakini vyote vimeshindikana.

Wanaume si kuwa na hela tu,Mwaume ukijua principal zako za Uanaume na ukatuliza kichwa mwanamke kama huyo lazima apite kila sehemu kutangaza kama alivyo huyo.

Ajitazame vizuri
 
Wanawake wapumbavu ndo huamini wakishakuwa na pesa au madaraka ndio key ya kuitawala nyumba na mume.
Wakishaanza kulala na kuamka peke yao ndio huanza kuwachukia wenzao walioko kwenye ndoa na wanaopendwa kwa kuwaona ni kama wanaringa.
 

Tatizo makundi
 
Hakikisha mkeo anakutegemea kwa Kila kitu hata chupi ununue wewe bro heshima utaipata.imagine mwanamke amenunua gari lake mda wowote anatimka kusiko julikana hapo huna mke utashuhudia dharau mpk bas.
Tatizo Mwanamke akikutegemea kwa kila kitu na yeye ana kua na penzi la uwongo kisa njaa yake tu, siku shida zake zikiisha ndiyo utamjua tabia yake ya ukweli!!
 
Ndo akina Christina Shusho hawa, kujifanya utumishi kumbe takataka tupu
 
Yaani mimi binafsi,ninasomesha wanangu,shule za watoto ninatafuta mwenyewe,ninalipa bill zote nk.Yaani Sometimes huwa ninajiambia mimi ni mwanaume kasoro viungo vya jinsia tu.
gabrielle union kwan wade kakukimbia 😃
 
Ingekuwa mimi huyo mwanamke akirudi tu anakutana na Talaka yake mlangoni

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
ni mpumbavu tu huyo mwanamke. kwanza mwanamke mwenye mume hawezi kuzungumza maneno kama hayo mbele za watu.

pili hata ukimsikiliza upangiliaji wake wa maneno na sentensi ni wazi kichwani yuko empty mtupu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…