Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Acha tu kuna siku nimekatiza mahali tunaenda mpirani naona gari hii hapa.
Nikaona hapa mi nazama ndani namkuta.
Dingi vp?
Aah mi nazuga tu hapa,
We umefata nini huku?
Naenda mpirani
Aah mwanangu twende hapo nikurekebishie.
Kanipa mazaga kibao.
Nikamwambia mkeo anakusubiri kule.
Karekebishe.
Hapo najua menu ntaikutaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Naenda jembe langu ila usimwambie umenikuta huku.
Poa.
Miaka ya 80 hapo hamna simu upige.
Ile siri mpk leo sijaisema kwa maza
 
Wanawake wa humu wangekuwa na akili, wisodm kama wewe ingekuwa safi.. kupitia huu uzi taka taka kibao zimeonekana
Unajua nini rafiki, Kila mtu anaruhusiwa kuwa mpumbavu kwa kadri awezavyo, ila mpumbavu huyo anapoamua kueneza upumbavu wake kwenye jamii it is questionable! Kwenye jamii tunategemeana, hivyo mtu mmoja akiamua kutuharibia jamii hapaswi kukaliwa kimya.

Yaani kati ya mafundisho yote ambayo anaweza kuwapa wenzie yeye kaona hilo ndilo linafaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kwamba focus yetu wanawake ya kutafuta pesa iwe kwa ajili ya kuwapanda wanaume kichwani? Kwanini isiwe kuchangia kukuza uchumi wa familia na taifa! I'm so done with some people! 🀣
 
HUYO HANA mme.....ana Basha anamkanyaga tuu....
 
Kama hukujua hilo ndivyo akili zao zilivyo.

Wanawake ni wengi ni wanafki sana.
 
Bora huyu haangwi, aisee wanaume wanateseka sana sema tu hawana pa kusemea hasa wale wasio na kipato ndani ya familia - huo unyumba tu unapewa mara moja kwa wiki tena kwa masharti usiweke ufundi.
Usiweke ufundi tena😲😲😲 aisee hatari. Sii mchezo!
 
Aise!!! Wee mwanamke kwa kweli ni great thinker bila ubishi wowote. Kwa mtazamo huo mali zote mume lazima aandike jina lako bila ata kujiuliza mara mbili. Kelsea Aaliyyah Darlin financial services njooni muone mwanamke aliyeolewa akaoleka. Shauri yenu
 
Wee kila jambo lina faida na hasara zake. Sasa hao wanawake waso.i wa digrii na ajira za chupi huoni kuwa ni muhimu kuwepo ili kuwapunguzia stress lecturers? Au mnataka maprof na maboss wasile kwa urefu wa kamba zao?
 
"Tarehe 5 mwezi wa tano tutasafiri kwenda Dar kwaajili ya kikao na Bosi wetu mkuu"
Hii ni
Kuaga?
Kutoa taarifa? Au
Kuomba ruhusa
 
Alafu nmemuona brother Maxence Melo anatabasamu kabisa hapo hahahaha dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…