Sidhani, angekua kaaga asingeropoka vile........nafikiri ni hivyo mihemko, fantasy na obsession za hiyo sherehe mtu anajikuta anaropoka kutaka kuonekana!!..... si ajabu ameaga vizuri tu na ameahidi kurudi haraka nyumbani kabla mate aliyotema chini mumewe hayajakauka........
Naked truthSiku hizi wanajiita Super woman, ukiongea nao kwa dakika 5 kama huna uvumilivu unaweza tandika makofi.
Ukiangalia, hata walioshiriki ule mkutano wa Beijing physically, KAMA HAWAKUWA WAMEACHIKA, BASI NDOA ZAO ZILIKUWA TAABANI BIN HOI, IN THE NAME OF HAKI SAWAKatika zama hizi za mwanamke kuwa na uchumi, kuzidi mume..
Hapo kinachotakiwa ni upendo tu, unajua ukiwa na upendo kwa mwenza wako, hata umzidi kipato still utamuheshimu.
Sasa huyu hata huo upendo hana, anachoangalia yeye ana uchumi wake vizuri so anaweza kufanya lolote, na mume asiseme lolote.
Kweli wanawake tumewezeshwa, tumeweza. Kama unataka kuwa na mwenza ama ndoa yenye furaha, tanguliza upendo kwake.
Muishi kwanza kama marafiki, wapenzi na mume na mke. Mama hapo kakosea na siwezi fata mafundisho yake. Wee my man nampenda, niache kumpa taarifa mapema, hata anisaidie kunichagulia nguo kimahaba, aniambie jinsi ilivyonikaa na nilivyopendeza. Kuna watu hawajuhi mahaba bana kaa huyo bi hambiliki...
Na km huna na nguvu za kiume imekula kwako.Hakikisha mkeo anakutegemea kwa Kila kitu hata chupi ununue wewe bro heshima utaipata.imagine mwanamke amenunua gari lake mda wowote anatimka kusiko julikana hapo huna mke utashuhudia dharau mpk bas.
Oa unae fanana nae,ukiishia sekondary ,na ukawa na kipato Cha laki Tano kwa mwezi,harsfu ukaoa msomi wa chuo kikuu,utakufa kwa kihoro!kwa wasomi sie,mwanamke kuwa na roho ya kujiamini kiasi hicho ndio safi,tunaikubali,sasa kama unataka mkeo awe kama kondoo,Binti zako watajifunza nini?,na wao wawe makondoo wakiolewa?mwanamke independent wa pesa kwenye familia ni muhimu sana,ukiona unashindwa kuishi na mwanamke msomi,basi wewe uanaume wako una mashaka.Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable
Imagine mke wako anajitapa ivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli apo
SASA WEWEE.!! FINANCIAL FREEDOM NDO IKUTIE KIBURI KWA MUMEO..!!?? Unachanganya kati ya upendo wa mke kwa mume na uwezo wa kifedha wa mke..!! Hivi una maanisha kuwa wanaotakiwa kuaga ni wale wasio na hela pekee!!???Mtu mzima haagi anatoa taarifa. Ndio maana alipotoa taarifa mumewe hakuwa na shida. Shida iko kwenu wenye mitizamo potofu.
Hivi sio nyie kila siku mnaropoka kutaka wanawake financial independent? Au huwa ni uchoyo unawasumbua kumbe deep within hamko tayari kwa wanawake hao!!!
Maneno aliyotamka huo bibie ndio uhalisia wa ulimwengu wa Sasa....ndio mfumo ulioandaliwa ili kuuangusha uanamume Duniani....na huo mpango unaratibiwa na mashirika mbali mbali Duniani na fedha nyingi zinatumika kufanikisha Hilo Kwa kutumia NGOs mbali mbali......
Hizi ni nyakati ngumu sana kwa wanaume....ipo vita ya kimya kimya inayopiganwa ili kuondoa mfumo wa kiume Duniani.......
Mfumo huo unaanzia ngazi ya familia mpaka kwenye sheria za serikali......kila sehemu mwanaume amewekewa vikwazo na akisema ajitetee hata Kwa kuongea anaaambiwa anamkandamiza mwanamke.......
Matokeo yake Sasa hivi wanaume tumebakia wapweke hatuna pa kusema.....kisemeo chetu ni chupa za bia na pombe kali na kwenye mechi za ligi mbali mbali....huko ndiko ambako kidogo tunaweza walau kutabasamu.........
Kitu ambacho wanawake hawakijui ni kuwa hichi wanachokipigania ni ndio shimo lao la maangamizi.....muda utaongea....
Nimeiona, Asante.Video ishatupiwa juu kabisa ya comments 20 za mwanzo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Umesikika Tajiri kungwi la feminists.Watu mmepanic, ukute na mumewe wanaishi vizuri tu. Tafuteni pesa habari ndo hiyo mshaipata
Jazia nyama kidogo ChifuUkipenda kulelew lazima ukubali yote
Wanaopelekwa puta na wake zao utawajua tu. Halafu mkichapiwa mnaanza kuja kuomba ushauri huku jukwaani.Oa unae fanana nae,ukiishia sekondary ,na ukawa na kipato Cha laki Tano kwa mwezi,harsfu ukaoa msomi wa chuo kikuu,utakufa kwa kihoro!kwa wasomi sie,mwanamke kuwa na roho ya kujiamini kiasi hicho ndio safi,tunaikubali,sasa kama unataka mkeo awe kama kondoo,Binti zako watajifunza nini?,na wao wawe makondoo wakiolewa?mwanamke independent wa pesa kwenye familia ni muhimu sana,ukiona unashindwa kuishi na mwanamke msomi,basi wewe uanaume wako una mashaka.
Old skool men,Wanapenda kutumia amri tu,hawawezi kujenga hoja,wapo wanawake anaingia kwenye ndoa tayari ana pesa yake ndeefu,huyo lazima ujue akili ipo sana,huwezi kumpeleka peleka kama gari bovu
Achana nalo hilo linafagilia upupu tu humu 🤢🤢🤢🤢🤮🤮
Umewaza km mimi. Haiwezekani umeolewa na mwanaume mwenye akili timamu unaongea hivyo. Kwanza aksikia tu ukirudi lazima uchapwe. Na mwanaume mwenye akili timamu huwezi kumuaga hivyo hata km pesa na nyumba ni vyako. Si bora ulijulikane tu wewe ndiyo umeolewa kuliko dharau hizo. In short huyu hajaolewa hapo anawalisha wenzie ujinga ili waingie mkenge kwenye ndoa zao ili wakiachwa apate wadangaji wenzie.changu kama yule hawezi kuwa na mume. anawadanganya walio ktk ndoa ili waharibikiwe kama yeye
Shemela Evelyn Salt, Bantu Lady, Mideko, lovely love, Kapeace, binti kiziwi, Dejane, Kalpana, Lanlady, Lovelovie, Numbisa, Mamndenyi etc embu elezeni kama huyu mama yupo sawa au la..!!
Na huo ndiyo ukweli usiopingika. Hao wanakula maisha maana hakuna mwanamke kujivunaIna maana siku hizo pesa zikiisha ndio ataanza kuaga tena au??
Namwelewa sn yule mwamba aliyesema waliooa darasa la saba na form four ndio wana-enjoy ndoa.