Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Kama mm ndo ningekua mumewe akirudi nyumbani atakuta vitu vyake vyote nje na ntatundika panga juu ya mlango akija aone tusije laumiana bdae..
Wala nisingemsemesha kwa wiki nzima akiwa anashuhudia kila asubuhi na jioni nanoa panga langu vizuuuri afu naliweka mezani sebuleni.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wepi hamsemi semi? Nyie nyie au mnawaongelea wa sayari nyingine? Na inawezekana pia hana mchepuko na wanaheshimiana na mkewe vizuri tu na wala hana shida na kupewa taarifa. Taabu ni kwenu wapenda kuagwa sasa🀣🀣 sijui mmekuwa maitiπŸ™†πŸ™†πŸ™†

Issue ni ametoa taarifa, hajaondoka bila kutoa taarifa and thats what matters. Mtu mzima anatoa taarifa, watoto ndio wanaoaga.
 
Ngumu kwako kwa mwingine ndiyo raha pengine.

Watu wako complex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…