Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Sawa pamoja sana mkuuu nimekusoma
 
Hahahaa. Duuh.

Mie naona mwanaume akiwa anajua ule uwanaume wake na kusimama kama mwanaume tu ndio uzuri huo hayo mengine ndio mwanzo wa kuanza kugombania kioo. Akaaaa.

Mwanaume awe wa kawaida tu inatosha.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]nakusalimu dada
 
Hahahaha...[emoji23] [emoji23] ukumbuke leo jumapili ee
 
Ymadhihirisha jinsi gani ulivyo malay. A we mwanamama,nakuona jinsi ki. S ssimi kilivyo kusimma hapo,mpaka jicho linakupwita
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]nakusalimu dada
Mie sijambo mdogo wangu Kipenzi ila leo dada yako kawa tofauti kabisa na wewe mdogo wake. [emoji8]

Yeye anapenda wale wanaokaa mwezi hata kioo hawakijui kinafananaje. Teh. [emoji85] [emoji85]
 
Demiss ujue Mungu anakuona Ww[emoji23][emoji23][emoji23] yani Niko church nikasema hebu nichungilie jf kidogo dooh....hahahaha haya bhana ila wengine tunapenda kama akina wasira na remmy ongala
Nimewavumilia nimeshindwa wallah

Sasa ukute mbaya alafu hana helaa jaman unaweza kukimbia mbio za Marathon za tigo

Wassira mbaya ila ana helaaaa

Angekuwa hana weeeee ingekua kituko cha enzi za kaleee
 
Nyama choma mixer kijiti,pori kwa pori
Aiseeee hiyo kitu unanitoa udenda wewe [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]

Mpaka nimelia machozi nilivyoona hiyo picha
 
Aisee.

Acha nirudi nikaweke mkeka si kusoma huu uzi
Hahahahahaa nikaribishe tu tuje kupiga story

Mwanaume anayependa kukaa kweny mkeka huyo ni kiben ten(jokes)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahaa. Na kweli aisee. Hizo sura nzuri watuachie sie Ke.

Sababu mwisho wa siku mkikaa hakuna tofauti kati ya Baba na Mama sababu wote nyuso zina poda kama nyusi wote mmetinda. Khaaaa. Ndio nini sasa.
[emoji16][emoji16][emoji16]aisee dada umejua kunichekesha hakuna mama wala baba wote wasweeety
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…