Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Kumbe kuna kuombana namba za simu siku hizi?

Zamani ilikuwa binti anakuta Wazee wake wanajadili tu posa yake bila hata yeye kujua....yeye anafikia kuulizwa tu hivi Mtoto wa Mzee Grahams yule anayeishi Arusha una mfahamu?

Binti akisema ndiyo namfahamu, basi huko jikoni Mama yake anapiga vigelegele

Siku hizi unapewa namba ya simu kumbe ya mume/mchumba wake...hujakaa sawa anakutumia mabaunsa kutaka kukuteka

Mambo ya kutaka kuuana kwa presha nani anataka 😜
 
Huyo mshamba kweli kweli, na vyuoni wenye magari wanavimbaga haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…