Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Pia kuna wanaume wana majibu mabaya sana tukiwanyima namba.
Mimi mwaka mpya tu hapa nimechambwa na mbaba ofisini sina hamu, nilikuwa mpoleeeee!
kuna jamaa yangu anatabia kama hiyo bas anaenda kwa upole jamaa: dada habari, dada:safi jamaa: kama nakufananisha hv we si ulikuwa unakaa kuleeeee dada:wapi? Jamaa:hapaa kwa kina nani hivi lucy unampata? dada kabla hajajibu jamaa tuache hayo unajua we ni mrembo yaan dah sijui nisemeje ooh hebu nisaidie kwanza namba yako ,, dada:mi nimeolewa namba yangu ya nini? Hadi hapo jamaa uvumilivu unamshindwa jamaa:hivi we mdada mbona unajiona sana cheki ulivyo miguu kama suria kudadek nilikuwa nakujaribu tu utanipeleka wap mtu kama wewe,, kwa aibu dada wa watu huyoo hapo jamaa ndio anazidi siku nyingn ukiniona upite mbali.. Nina hasira sana na ww dada umetangaza vita, na sio kwamba anatania, akimkuta tena kejel tena mara ya tatu ndio anaomba tena kwa woga wa dada anampa na akisha pewa hamtafuti
 
Tatizo ndio hilo, ukikataa zinaanza kejeli...
Ndio nikagundua hiyo mbinu, wala siwazi siku hizi. Nawapa wakipiga wanashangaa wanakaribishwa ofisini 😩😂😂
Mimi ukinikatalia hata sina hofu nitajenga na kuongeza ukaribu visalamu vinazidi mpaka utaitaka yangu mwenyewe. Nikikosa kabisa basi nasahau.

Kuna dada aliwahi nipa namba kumbe ni ya bwana ake 😂
Wanawake Mungu anawaona
 
kuna jamaa yangu anatabia kama hiyo bas anaenda kwa upole jamaa: dada habari, dada:safi jamaa: kama nakufananisha hv we si ulikuwa unakaa kuleeeee dada:wapi? Jamaa:hapaa kwa kina nani hivi lucy unampata? dada kabla hajajibu jamaa tuache hayo unajua we ni mrembo yaan dah sijui nisemeje ooh hebu nisaidie kwanza namba yako ,, dada:mi nimeolewa namba yangu ya nini? Hadi hapo jamaa uvumilivu unamshindwa jamaa:hivi we mdada mbona unajiona sana cheki ulivyo miguu kama suria kudadek nilikuwa nakujaribu tu utanipeleka wap mtu kama wewe,, basi mi nakufa kuchekaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu ulifufuka baada ya kufa kucheka 😂
 
Mimi ukinikatalia hata sina hofu nitajenga na kuongeza ukaribu visalamu vinazidi mpaka utaitaka yangu mwenyewe. Nikikosa kabisa basi nasahau.

Kuna dada aliwahi nipa namba kumbe ni ya bwana ake 😂
Wanawake Mungu anawaona
Ukaribu kwa nani? Mimi hiyo nafasi huwezi kuipata. Sinaga ukaribu na wanaume zaidi ya mwanaume wangu tu.

Pole.
 
Hiyo ndio mbinu yangu pendwa, mpaka nimewahi kuumbuka mara kibao! Kuna mtu nilimpaga bwana, siku akaja sipo akaulizia namba ya ofisi akapewa... akakausha! Siku akaja akanikuta tena, akaniomba tena namba zangu huku akisisitiza nikamtajia, kuandika tu jina likaja la ofisi! Ilikuwa noma,aliniangalia akaondoka hakunisemesha chochote hadi leo naonaga aibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Imefikia stage mpaka wenzangu wakiona mtu ananiomba namba tu wanacheka hawana mbavu maana wanajua anapewa za ofisi!
Una tabia mbaya wewe, basi naomba na mimi namba yako pls isiwe ya ofisi lkn, kama ya ofisi baki nayo mwenyewe
 
Back
Top Bottom