Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ndio hilo, ukikataa zinaanza kejeli...😂 si umwambie tu hapana mbona si wengine waelewa sana.
Nna jamaa yangu akiomba namba akanyimwa huyo dada atakoma kwa maneno ya kejeli
kuna jamaa yangu anatabia kama hiyo bas anaenda kwa upole jamaa: dada habari, dada:safi jamaa: kama nakufananisha hv we si ulikuwa unakaa kuleeeee dada:wapi? Jamaa:hapaa kwa kina nani hivi lucy unampata? dada kabla hajajibu jamaa tuache hayo unajua we ni mrembo yaan dah sijui nisemeje ooh hebu nisaidie kwanza namba yako ,, dada:mi nimeolewa namba yangu ya nini? Hadi hapo jamaa uvumilivu unamshindwa jamaa:hivi we mdada mbona unajiona sana cheki ulivyo miguu kama suria kudadek nilikuwa nakujaribu tu utanipeleka wap mtu kama wewe,, kwa aibu dada wa watu huyoo hapo jamaa ndio anazidi siku nyingn ukiniona upite mbali.. Nina hasira sana na ww dada umetangaza vita, na sio kwamba anatania, akimkuta tena kejel tena mara ya tatu ndio anaomba tena kwa woga wa dada anampa na akisha pewa hamtafutiPia kuna wanaume wana majibu mabaya sana tukiwanyima namba.
Mimi mwaka mpya tu hapa nimechambwa na mbaba ofisini sina hamu, nilikuwa mpoleeeee!
Viumbe hawana formulaUkitaka mwanamke akusumbue omba namba ya simu first time
Kabisa mzee mwenzangu,ni ushamba uliokithirikuomba namba barabarani ni ushamba
Mimi ukinikatalia hata sina hofu nitajenga na kuongeza ukaribu visalamu vinazidi mpaka utaitaka yangu mwenyewe. Nikikosa kabisa basi nasahau.Tatizo ndio hilo, ukikataa zinaanza kejeli...
Ndio nikagundua hiyo mbinu, wala siwazi siku hizi. Nawapa wakipiga wanashangaa wanakaribishwa ofisini 😩😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣kuna jamaa yangu anatabia kama hiyo bas anaenda kwa upole jamaa: dada habari, dada:safi jamaa: kama nakufananisha hv we si ulikuwa unakaa kuleeeee dada:wapi? Jamaa:hapaa kwa kina nani hivi lucy unampata? dada kabla hajajibu jamaa tuache hayo unajua we ni mrembo yaan dah sijui nisemeje ooh hebu nisaidie kwanza namba yako ,, dada:mi nimeolewa namba yangu ya nini? Hadi hapo jamaa uvumilivu unamshindwa jamaa:hivi we mdada mbona unajiona sana cheki ulivyo miguu kama suria kudadek nilikuwa nakujaribu tu utanipeleka wap mtu kama wewe,, basi mi nakufa kuchekaaaaa
😂 fungu la kukosaNdo nakumbuka, mchana nimekutana na mrembo kumuomba namba kazingua🤣 tako lenyewe hana ana uvimbe tuuu ule ye anasema tako sasa tako bila kiuno si ni uvimbee😬😬😅
Bora wewe me nilipewa ya baba ake ni hataree😅🤣Mimi ukinikatalia hata sina hofu nitajenga na kuongeza ukaribu visalamu vinazidi mpaka utaitaka yangu mwenyewe. Nikikosa kabisa basi nasahau.
Kuna dada aliwahi nipa namba kumbe ni ya bwana ake 😂
Wanawake Mungu anawaona
Mimi niliwah ambiwa mtu mwenyewe mweusiii mbaya alafu unaringa 🤣🤣🤣 nikaangua kicheko hata kukasirika nilishindwa.😂 si umwambie tu hapana mbona si wengine waelewa sana.
Nna jamaa yangu akiomba namba akanyimwa huyo dada atakoma kwa maneno ya kejeli
Sema nini au basii🤣🤣😂 fungu la kukosa
Sasa nifah unamnyimaje mtu namba kwa mfano tena wa ofisini sio pita njia unaniudhi!Pia kuna wanaume wana majibu mabaya sana tukiwanyima namba.
Mimi mwaka mpya tu hapa nimechambwa na mbaba ofisini sina hamu, nilikuwa mpoleeeee!
Mkuu ulifufuka baada ya kufa kucheka 😂kuna jamaa yangu anatabia kama hiyo bas anaenda kwa upole jamaa: dada habari, dada:safi jamaa: kama nakufananisha hv we si ulikuwa unakaa kuleeeee dada:wapi? Jamaa:hapaa kwa kina nani hivi lucy unampata? dada kabla hajajibu jamaa tuache hayo unajua we ni mrembo yaan dah sijui nisemeje ooh hebu nisaidie kwanza namba yako ,, dada:mi nimeolewa namba yangu ya nini? Hadi hapo jamaa uvumilivu unamshindwa jamaa:hivi we mdada mbona unajiona sana cheki ulivyo miguu kama suria kudadek nilikuwa nakujaribu tu utanipeleka wap mtu kama wewe,, basi mi nakufa kuchekaaaaa
Ustaarabu unalipa mkuu, kuna ke wanavutiwa na kukubali kwa jinsi tu ulivyo muelewa.Sema nini au basii🤣🤣
Ukaribu kwa nani? Mimi hiyo nafasi huwezi kuipata. Sinaga ukaribu na wanaume zaidi ya mwanaume wangu tu.Mimi ukinikatalia hata sina hofu nitajenga na kuongeza ukaribu visalamu vinazidi mpaka utaitaka yangu mwenyewe. Nikikosa kabisa basi nasahau.
Kuna dada aliwahi nipa namba kumbe ni ya bwana ake 😂
Wanawake Mungu anawaona
Una tabia mbaya wewe, basi naomba na mimi namba yako pls isiwe ya ofisi lkn, kama ya ofisi baki nayo mwenyeweHiyo ndio mbinu yangu pendwa, mpaka nimewahi kuumbuka mara kibao! Kuna mtu nilimpaga bwana, siku akaja sipo akaulizia namba ya ofisi akapewa... akakausha! Siku akaja akanikuta tena, akaniomba tena namba zangu huku akisisitiza nikamtajia, kuandika tu jina likaja la ofisi! Ilikuwa noma,aliniangalia akaondoka hakunisemesha chochote hadi leo naonaga aibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imefikia stage mpaka wenzangu wakiona mtu ananiomba namba tu wanacheka hawana mbavu maana wanajua anapewa za ofisi!
Kuna ukweli kwenye hiliUkitaka mwanamke akusumbue omba namba ya simu first time