Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂 hakuna boya hapaTulia sasa nusu albino 🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 hakuna boya hapaTulia sasa nusu albino 🤒
Tukutane pale Facebook cafe, niku vunje Taya🤒😂 hakuna boya hapa
We jichanganye mi ni miongoni mwa wasiojulikanaTukutane pale Facebook cafe, niku vunje Taya🤒
Yaani nusu Albino usi julikane🤣😄We jichanganye mi ni miongoni mwa wasiojulikana
Haha yeah.ni kweli upo njiro ?
Very sad! Mi mwenyewe nikimkuta sa hivi ntamkwangua hata bampa sote tupate hasara amenitesaga sana yule kenge 😂Huyo mshamba kweli kweli, na vyuoni wenye magari wanavimbaga haswa.
😂 hiyo ndio jeuri ya fweza mtafuteVery sad! Mi mwenyewe nikimkuta sa hivi ntamkwangua hata bampa sote tupate hasara amenitesaga sana yule kenge 😂
Jichanganye sasaYaani nusu Albino usi julikane🤣😄
Sema tu mi mpole, ila sijamsamehe hakika! 🤣😂 hiyo ndio jeuri ya fweza mtafute
Go to hell 🤒Jichanganye sasa
Ulitaka akeombe wapiKuomba namba barabarani ni ushamba
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ukinikatalia hata sina hofu nitajenga na kuongeza ukaribu visalamu vinazidi mpaka utaitaka yangu mwenyewe. Nikikosa kabisa basi nasahau.
Kuna dada aliwahi nipa namba kumbe ni ya bwana ake [emoji23]
Wanawake Mungu anawaona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni wee huyo hkn Cha jamaakuna jamaa yangu anatabia kama hiyo bas anaenda kwa upole jamaa: dada habari, dada:safi jamaa: kama nakufananisha hv we si ulikuwa unakaa kuleeeee dada:wapi? Jamaa:hapaa kwa kina nani hivi lucy unampata? dada kabla hajajibu jamaa tuache hayo unajua we ni mrembo yaan dah sijui nisemeje ooh hebu nisaidie kwanza namba yako ,, dada:mi nimeolewa namba yangu ya nini? Hadi hapo jamaa uvumilivu unamshindwa jamaa:hivi we mdada mbona unajiona sana cheki ulivyo miguu kama suria kudadek nilikuwa nakujaribu tu utanipeleka wap mtu kama wewe,, kwa aibu dada wa watu huyoo hapo jamaa ndio anazidi siku nyingn ukiniona upite mbali.. Nina hasira sana na ww dada umetangaza vita, na sio kwamba anatania, akimkuta tena kejel tena mara ya tatu ndio anaomba tena kwa woga wa dada anampa na akisha pewa hamtafuti
Nilivyothibitisha ni ya mwanaume nikaifuta[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo ikawaje?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
I will go dodoma insteadGo to hell 🤒
Msamehe na upumbavu wakeSema tu mi mpole, ila sijamsamehe hakika! 🤣
Basi jumapili tukutane majengo mapya, ili uvunjikeI will go dodoma instead
Kwa maneno hayo unategemea nitatokea?Basi jumapili tukutane majengo mapya, ili uvunjike
we mbinguni haumoMkuu we Huwa unaenda moja kwa moja unaomba namba hata salamu hakuna? Sikia unatakiwa unamsalimia manzi kwanza ..
Salamu inakupa picha ya kujua manzi anamood gani