Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

Una ugomvi na Shilole
 
We ni KE? Mtu kanenepa bado unataka umwonee huruma! Huna cha kufanya? Angekonda ungefanyaje?
 
Hayo maumbile akiyaona anata ayale? Watu wamechanganyikiwa, eti huyo ana watoto, ndg na wazazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…