Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Kuwasha camera na kuonesha maumbile ni wapi huko Fb, Insta au wapi?Kuna wanawake Tanzania hasa mishangazi huwa wananepeana vibaya sana. Unakuta mkono wa mmama ni mkubwa kama paja la ng'ombe,mashavu kama anapuliza moto, tumbo kubwa kiuno kimeunganika mgongo na makalio huwezi kuona tofauti yoyote, shingo ina pingili kama matairi mengi ya baiskeli yamepangwa pamoja.
Mwanamke kama huyo bado unamkuta tena anafakamia visinia vya pilau, biriyani, chips, soseji, nyama, Samaki, mayai na ndizi kwa pamoja na juice nusu jagi.
View attachment 3680944
Pombe hautakiwi kuwa mzembe mzembe kuwa na tumbo kama gudulia ni kugusaSababu unajua kucheza na beat.
Pombe zembe lazima uchanganyike mwili wote ..plus na mavyakula chips yai.Pombe hautakiwi kuwa mzembe mzembe kuwa na tumbo kama gudulia ni kugusa
Halafu chips yai inataka bia za light sana sijui kwa nini , ukishalipiga unapata hamu ya vi Heineken na vi Windhoek hii sijui imekaajePombe zembe lazima uchanganyike mwili wote ..plus na mavyakula chips yai.
Ila kwa mtindo wa maisha wa bongo, lazima utapitia unene tu mahali fulani.Kumbe wanawake pekee ndio wanaonenepa?
Ila humu mbona mnapenda kuwa bullies kwa wanawake? Shida ni malezi yenu, elimu, maisha magumu au kitu gani?
Sababu ni junk food, hapo tayari tumbo lishabeba gastric za kutosha ukipiga safari lager or any lager kinachofuata wetu tunaelewa. light mpango mzima.Halafu chips yai inataka bia za light sana sijui kwa nini , ukishalipiga unapata hamu ya vi Heineken na vi Windhoek hii sijui imekaaje
Ila safari na Kilimanjaro ni bia tamu sana sema tu masukari yake mengiSababu ni junk food, hapo tayari tumbo lishabeba gastric za kutosha ukipiga safari lager or any lager kinachofuata wetu tunaelewa. light mpango mzima.
Ni kujiendekeza tu na uvivu wa kigoigoi + ulafiUsicheke ulemavu wa mtu!
Kuna wengine akikosa msosi kidogo tu sukari inashuka, ... yaani analia, literally, mpaka afakamie!Ni kujiendekeza tu na uvivu wa kigoigoi + ulafi
Hiii inaweza kuwa sababu kubwa ya watu kusaliti ndoa.Kimanyoko zenu... Wakwangu tulibebana akiwa ni mwanamke wa ndoto zangu ila kwa sasa amekua kama simtank
Nalia sana mimi hasa ukizingatia zile styles zangu pendwa ananipa kwa mashart 😭😭😭😭
Seran okoa jahazi tafadhali 🙄
Hapo ukimwambia a ride ananyanyua mguu kama kiboko anavuka tuka👇 Seran wangu leo yupo wapi tukalewe.Kimanyoko zenu... Wakwangu tulibebana akiwa ni mwanamke wa ndoto zangu ila kwa sasa amekua kama simtank
Nalia sana mimi hasa ukizingatia zile styles zangu pendwa ananipa kwa mashart 😭😭😭😭
Seran okoa jahazi tafadhali 🙄
Minyama nyama inakata , japo kweli matukunyema ni asali ya nyuki wadogo ila ile minyama lazima ule nyagi kwanzaHao wamotoo balaaaa
Vijana boda boda wanakwambia huwa wanapiga chafyaaa mlangoni kisha round ya pili ndo wanatekeleza game hadi mshangaziii anapagawaa
Kuna hela naisubiria ikitiki naoa kasichana kembamba kwa asili tena karefu... Mungu anisikie nitulieHapo ukimwambia a ride ananyanyua mguu kama kiboko anavuka tuka👇 Seran wangu leo yupo wapi tukalewe. View attachment 3681106
Mimi asiwe mnene ila awe na tako na nyonyo iliyo Shiba tu hapo moyo wangu kwetuKuna hela naisubiria ikitiki naoa kasichana kembamba kwa asili tena karefu... Mungu anisikie nitulie
Pia awe mrefu... Vidada vifupi vinaniganda sana alafu tabia zao zinafanana.Mimi asiwe mnene ila awe na tako na nyonyo iliyo Shiba tu hapo moyo wangu kwetu
Vifupi ndio vitamu , unavibeba kabisa wewe ndio unakua mfalme wa moyo wake🤣Pia awe mrefu... Vidada vifupi vinaniganda sana alafu tabia zao zinafanana.
Nataka mwanamke mrefu ili mwiko ukiwa ndani ziwa liwe mdomoni niweze kupata vitu ninaavyovijua mimi