Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

Picha yenyewe kaiba fbπŸ€’
 
AI inaleta balaa mtaani.

Kila mtu anabuni anachokipenda na kusema ni vitu halisi vinavyoishi,kibongo bongo chakula kama hicho ili mke akipike anatakiwa ndani ya 4hrs asiwe na kazi ya kufanya otherwise atapika sikukuu tu na tena kuwe na wageni.
Nyie watu mnaishi maisha gani na huwa mnakula nini?

Mbona ni msosi wa kawaida kabisa huo, na mtu anaejua mapishi hachukui zaidi ya dakika 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…