Kuna Watanzania ni makatili sana na hawana upendo kabisa. Wanafurahia nini kuona dunia ikikosa amani?

Tandika Kenya chawa wa mashoga ya magharibi
 
Kwahiyo wewe una focus Ukraine v Russia tu. Vipi Ethiopia v tigray, Palestinian v Israel, bado Civil War kama Congo na Sudan yote hayo hujui. Sikulaumu huenda ukawa unafata matangazo ya DW na BBC tu.
 
watanzania tunajielewa,sio Kama nyny nyumbu wakenya!! Hatupangiwi Cha kusema ebo!!

nyny wakenya miaka ile mlipokuwa mnachinjana na mapanga ,Nani aliwaimbia mapambio hata huyo marekani mbona aliuchuna,mpaka sisi baba zenu watanzania tukaingilia Kati kuwa suruhisha,na yakaisha.

acheni unyumbu.tanzania ni taifa linalojielewa na linamsimamo wake,na halipangiwi Cha kusema au kufanya.
 

Ujumbe wa Putin kwa waoga msiosimamia kimoja Putin: Biblia imesema ama uwe Moto au Baridi ukiwa Vuguvugu Nitakutema!
 
Hiki chombo pendwa kinacholeta amani kime changia Sana kufikisha ukimwi kila Kijiji Cha Tanzania.
Ogopa Sana mwenge ukilala kijijini kwako.
 
Mtoa thread hii uliwai kutoa ya Palestine [emoji1193] vs Israel au Libya vs Nato au Afghanistan vs Nato auvYemeni vs Saudia Arabia Ua US vs irak
Kama hukuwai kufanya hivyo kaa kimya na tusilete unafiki wowote hapa kwa kigezo cha ubinadamu
Huo ubinadamu umehujua leo
Central Africa walikuwa wanachinjana wao kwa wao uliwahi kuleta hii hoja hapa
Hakuna mauaji mabaya kwa kipindi hiki kama Central Africa wewe mtoto unalazimishwa kumchinja Baba yako mzazi
 

Dah! Hapa pia nimejimulika na kuona nilivyo mnafiki maana ya Afrika sijawahi kuipigia makelele, ila kwa hivyo itabidi tuungane na nyie timu Putin kushabikia anachokifanya kwa wananchi Ukraine kisa Afrika tulichinjana.......
 
Dah! Hapa pia nimejimulika na kuona nilivyo mnafiki maana ya Afrika sijawahi kuipigia makelele, ila kwa hivyo itabidi tuungane na nyie timu Putin kushabikia anachokifanya kwa wananchi Ukraine kisa Afrika tulichinjana.......
Mimi sio Timu Russia ila sisi Waafrika ni watu wanafiki sana Duniani
Tunamatatizo yakwetu ambayo ni makubwa sana kuliko hayo ya Wenzetu
Somalia ambao kila siku wanapigwa nakufa ata jana wamekufa 48 hii haitapigiwa kelele
Msumbaji wanakufa
Sisi ni wanafiki wakubwa sana
 

Sio Afrika tu, dunia yote leo imeangaza macho huko Ukraine, hata Syria kunao wanajitolea kwenda kujiunga kwenye hivyo vita wamsaidie Urusi, wanaacha kwao ambako kunawaka moto kila siku.
Kwa kifupi wazungu ndio wamiliki wa dunia hii, na wakigombana inabidi dunia isimame kwanza, maana wakianza kufyatuliana manyuklia, itakuhusu hapo ulipo mtaani.
 
Kote huko kwanini CCM hawakupeleka mwenge ukalete amani?
 
Mwenge uleta amani palipo na chuki ni wakati sahihi sasa kuupeleka Ukraine ukalete amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…