Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,040
- 2,674
Hahahaaa... Mkuu?Tuliza boli kijana, dawa ikuingie mdogo mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa... Mkuu?Tuliza boli kijana, dawa ikuingie mdogo mdogo
Umeona ehhHalafu Uzi wangu wameufuta.
Hakuna mabadiliko makubwa yaliyotokea katika ulimwengu huu bila kupigana vita.
Tandika Kenya chawa wa mashoga ya magharibiEti tushiriki kuandika historia 🤣🤣.... Maisha ni haya nayoishi sasa, hata kama ukija kutajwa na kila binadamu haikufai kitu wakati ukiwa chakula cha siafu na mchwa huko chini ya Tani 7.
PUTIN kama vipi hiyo kitu ya NYUKLIA fungulia tu watakaobaki wataanza UPYA..
Hata wana wa Yakobo waliipata kanaani kwa ncha ya upanga. Na wameweza kuwanyamazisha wapumbavu wana wa Ishmael wanaowazunguka kwasababu wana uwezo wa kuwatoa rohoUmeona ehh
Kwahiyo wewe una focus Ukraine v Russia tu. Vipi Ethiopia v tigray, Palestinian v Israel, bado Civil War kama Congo na Sudan yote hayo hujui. Sikulaumu huenda ukawa unafata matangazo ya DW na BBC tu.Nchi ina mijitu ina roho mbaya hii sijapata kuona. Watu wanauana huko Ukraine [emoji1255], watu wanashangilia utadhani mechi ya mpira wa Mrs Simba na @mr Yanga.
Hawa wanajiita team Ukraine [emoji1255] wakiongozwa na Mkenya anayetamani sana kuwa Mtanzania MK254 , na pia kuna team Russia [emoji635] inayoongozwa na Yericko Nyerere .
Serikali nayo iko kimya tuuuu utadhani haiathiriki na vita inayoendelea.
Serikali ya CCM kwa miaka nenda rudi tangu tumepata uhuru wa kuchovya mwaka 1961 hadi leo wamekuwa wakisadikisha raia wake kwamba wana chombo cha kuleta amani.
Yaani namna hicho chombo kinavyofanya kazi ni kwa njia moja tu, na kina leta amani fastaaa.
Chombo hicho kinaitwa mwenge, mkikiwasha mnakizungusha kwenye mipaka na kila mahali mnapotaka amani itokee na ghafla amani hupatikana.
Yaani kama ulikuwa umeshika binduki ghafla bin vuuu utajikuta umesgika mshumaa mweupe unaware, amani, amani, amani.
Lakini serikali hii haitaki kupeleka huo mwenge Ukraine ili , uzungushwe amani ipatikane.
HUO NI UKORRRRROFFFFFFIIIIIIIIIII
Achaa simbaa mkuu izungumziweee maanaa ndio wawakilishii wa nchii,,Kwani huwezi kuandika thread yako pasi na kuihusisha Simba???
Stupid.......
watanzania tunajielewa,sio Kama nyny nyumbu wakenya!! Hatupangiwi Cha kusema ebo!!Shukrani sana sikua nimejua nimefikia hadhi ya kuwa kiongozi wa timu Ukraine, maana historia inaenda kuandikwa, Mrusi aliingia kwenye nchi ya watu na kufanya mauaji ya kimbari, na kwamba nilikua mmojawapo wa waliopinga hayo mauaji, natumai JF bado itakuwepo ili niwaonyeshe wajukuu zangu nyuzi zangu.
Leo hii kunao watu hujivunia kwa namna moja au nyingine uhusika wao dhidi ya Hitler, ila pia waliokua wanamuunga mikono wamebaki kimya, hizo habari huwa hawazitaji ili wasisemwe vibaya na wajukuu zao.
Tanzania imeingiza mkia katikati ya miguu na kuogopa kutoa tamko la kiujasiri, aidha ikemee huu uvamizi na mauaji au ifungamane na Urusi, nafikiri ndivyo mlifanya hata kwa Rwanda miaka ile, jirani zenu hapo walichinjana mpaka basi, mkapiga kimya.
Stand up and be counted, history is being writen right in front of our eyes.
Hatari sana sheikhHata wana wa Yakobo waliipata kanaani kwa ncha ya upanga. Na wameweza kuwanyamazisha wapumbavu wana wa Ishmael wanaowazunguka kwasababu wana uwezo wa kuwatoa roho
watanzania tunajielewa,sio Kama nyny nyumbu wakenya!! Hatupangiwi Cha kusema ebo!!
nyny wakenya miaka ile mlipokuwa mnachinjana na mapanga ,Nani aliwaimbia mapambio hata huyo marekani mbona aliuchuna,mpaka sisi baba zenu watanzania tukaingilia Kati kuwa suruhisha,na yakaisha.
acheni unyumbu.tanzania ni taifa linalojielewa na linamsimamo wake,na halipangiwi Cha kusema au kufanya.
Hiki chombo pendwa kinacholeta amani kime changia Sana kufikisha ukimwi kila Kijiji Cha Tanzania.Nchi ina mijitu ina roho mbaya hii sijapata kuona. Watu wanauana huko Ukraine 🇺🇦, watu wanashangilia utadhani mechi ya mpira wa Mrs Simba na @mr Yanga.
Hawa wanajiita team Ukraine 🇺🇦 wakiongozwa na Mkenya anayetamani sana kuwa Mtanzania MK254 , na pia kuna team Russia 🇷🇺 inayoongozwa na Yericko Nyerere .
Serikali nayo iko kimya tuuuu utadhani haiathiriki na vita inayoendelea.
Serikali ya CCM kwa miaka nenda rudi tangu tumepata uhuru wa kuchovya mwaka 1961 hadi leo wamekuwa wakisadikisha raia wake kwamba wana chombo cha kuleta amani.
Yaani namna hicho chombo kinavyofanya kazi ni kwa njia moja tu, na kina leta amani fastaaa.
Chombo hicho kinaitwa mwenge, mkikiwasha mnakizungusha kwenye mipaka na kila mahali mnapotaka amani itokee na ghafla amani hupatikana.
Yaani kama ulikuwa umeshika binduki ghafla bin vuuu utajikuta umesgika mshumaa mweupe unaware, amani, amani, amani.
Lakini serikali hii haitaki kupeleka huo mwenge Ukraine ili , uzungushwe amani ipatikane.
HUO NI UKORRRRROFFFFFFIIIIIIIIIII
Mtoa thread hii uliwai kutoa ya Palestine [emoji1193] vs Israel au Libya vs Nato au Afghanistan vs Nato auvYemeni vs Saudia Arabia Ua US vs irakNchi ina mijitu ina roho mbaya hii sijapata kuona. Watu wanauana huko Ukraine [emoji1255], watu wanashangilia utadhani mechi ya mpira wa Mrs Simba na @mr Yanga.
Hawa wanajiita team Ukraine [emoji1255] wakiongozwa na Mkenya anayetamani sana kuwa Mtanzania MK254 , na pia kuna team Russia [emoji635] inayoongozwa na Yericko Nyerere .
Serikali nayo iko kimya tuuuu utadhani haiathiriki na vita inayoendelea.
Serikali ya CCM kwa miaka nenda rudi tangu tumepata uhuru wa kuchovya mwaka 1961 hadi leo wamekuwa wakisadikisha raia wake kwamba wana chombo cha kuleta amani.
Yaani namna hicho chombo kinavyofanya kazi ni kwa njia moja tu, na kina leta amani fastaaa.
Chombo hicho kinaitwa mwenge, mkikiwasha mnakizungusha kwenye mipaka na kila mahali mnapotaka amani itokee na ghafla amani hupatikana.
Yaani kama ulikuwa umeshika binduki ghafla bin vuuu utajikuta umesgika mshumaa mweupe unaware, amani, amani, amani.
Lakini serikali hii haitaki kupeleka huo mwenge Ukraine ili , uzungushwe amani ipatikane.
HUO NI UKORRRRROFFFFFFIIIIIIIIIII
Mtoa thread hii uliwai kutoa ya Palestine [emoji1193] vs Israel au Libya vs Nato au Afghanistan vs Nato auvYemeni vs Saudia Arabia Ua US vs irak
Kama hukuwai kufanya hivyo kaa kimya na tusilete unafiki wowote hapa kwa kigezo cha ubinadamu
Huo ubinadamu umehujua leo
Central Africa walikuwa wanachinjana wao kwa wao uliwahi kuleta hii hoja hapa
Hakuna mauaji mabaya kwa kipindi hiki kama Central Africa wewe mtoto unalazimishwa kumchinja Baba yako mzazi
Mimi sio Timu Russia ila sisi Waafrika ni watu wanafiki sana DunianiDah! Hapa pia nimejimulika na kuona nilivyo mnafiki maana ya Afrika sijawahi kuipigia makelele, ila kwa hivyo itabidi tuungane na nyie timu Putin kushabikia anachokifanya kwa wananchi Ukraine kisa Afrika tulichinjana.......
Mimi sio Timu Russia ila sisi Waafrika ni watu wanafiki sana Duniani
Tunamatatizo yakwetu ambayo ni makubwa sana kuliko hayo ya Wenzetu
Somalia ambao kila siku wanapigwa nakufa ata jana wamekufa 48 hii haitapigiwa kelele
Msumbaji wanakufa
Sisi ni wanafiki wakubwa sana
Kote huko kwanini CCM hawakupeleka mwenge ukalete amani?Mtoa thread hii uliwai kutoa ya Palestine [emoji1193] vs Israel au Libya vs Nato au Afghanistan vs Nato auvYemeni vs Saudia Arabia Ua US vs irak