Time travel wanaweza ila storyline yao ilikuwa mbovu. Unajua korea series hata iwe na story kali ila ikidumbukiziwa love story wanashindwa ku-balance inaanguka kama ghorofa. Kuna moja inaitwa signal ni time travel ni ya wakorea kali ila haijamiksiwa na vitu vingiWakorea wanavyo fanana, halafu waweke na mambo ya parallel universe
Ni mtafutano, nilikuwa nikiangalia hii series napumzika kwanza.....kama vile napiga desa 🤣🤣🙌
Hii haina kabisa mambo hayosikuhizi sofatilii sana naona kuna usagaji/ushoga sana
ila ntaitafuta
Salute kwa PBAliewekaa hajitambuiii.. GOT pamoja na kuwa na computer nyingi ndani yake lakini bado haiikamati Breaking bad hata Prison break bado inamuacha mbali sanaa...
Hawa jamaa hawajaiona got nini, rikiboy anaifananisha Got na PR-break. Got ni unpredictable akili mingi ila Priaon break unajua kabisa hawa wanataka kufanya hv.Nimeichek ndio sema bado aijatazama S5 bado naivutia kasi. Gus ni mnoma sana. Halafu kuna vile vimapacha viwili ni nouma[emoji28][emoji28].
Ila GOT kuna Ramsey, Kuna night king ukiwaona tu unaanza kutetemeka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bhasi wew ndo wale wapenda Fiction na mauongoooo flani hivi ndo unaona movie nzuri. Ila when comes to reality bila fiction achana na Breaking Bad.Mmhh hiyo haina hayo mambo
Inahusu tu revenge, mpangilio yake ni mzuri haichoshi kuangalia
Japo kuna muda inasikitisha[emoji28]
Alice sio comedy aisee acha kuishusha hadhi😅Mmmhhh mimi Anime siko interested nazo mkuu kama hiyo Alice in Borderlands ndio kabisaaa
Movie nikishaona ina comedy sitaki hata kuigusa. Niko much interested na crime, thriller or detective movie au series
mkuu tuache ratings ndo ziongee....Nimeichek ndio sema bado aijatazama S5 bado naivutia kasi. Gus ni mnoma sana. Halafu kuna vile vimapacha viwili ni nouma😅😅.
Ila GOT kuna Ramsey, Kuna night king ukiwaona tu unaanza kutetemeka
Ila sio level za GotSalute kwa PB
PB ingeshushwa 2022 au 2021 ingekuwaje?Ila sio level za Got
Na hapo hata wewe hautaona raha ya kuimaliziaYah ni kweli ila inaonesha yule kaka yake Hoon (stuntman) anarudi kulipiza kisasi kwa Samuel
Wanaweza iwekea mbwembwe mpaka ikafika episodes 10
😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bhasi wew ndo wale wapenda Fiction na mauongoooo flani hivi ndo unaona movie nzuri. Ila when comes to reality bila fiction achana na Breaking Bad.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wew unaangalia series gani sasa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo movie hata nikiwa niko idle siwezi kuiangalia kama jinsi wewe huwezi kuangalia haya mauongooo[emoji38]
GOT ndio kabisaaa hata kwa panga
Hapana Got ni movie iliyokamilika mkuu sijaiona breaking bad ila kwa prison break haifiki kwa GOT.GOT ukitoa wale white walkers bhasi hamna movie palee... trust me!
kwenye Viking namkubali FlokiNilmeangalia
GOT
VIKINGS
INTO THE BADLAND
POWER
PRISON BREAK
THE LASTSHIP
NARCOS
OZARK
Ongeza nyinginee nyingii..
Ila
BREAKING BAD NI FUNGA KAZI.
Yaah kweli GOT ni master piece...wangejitahdi mwishoni isingeishaa kizembe vilee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana Got ni movie iliyokamilika mkuu sijaiona breaking bad ila kwa prison break haifiki kwa GOT.
Sema mwishoni akaja kuwa Boyaa ilinikeraaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwenye Viking namkubali Floki
ntaitafuta keshooMmhh hiyo haina hayo mambo
Inahusu tu revenge, mpangilio yake ni mzuri haichoshi kuangalia
Japo kuna muda inasikitisha[emoji28]
Zile za mauongo uongoooooo😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wew unaangalia series gani sasa???
Ingehit sana kama zlivokua money heist na squid game lakini bado isingekuwa legendary movie kama GOT. Na movie nzuri haijalishi imetoka kipind gani mfano Lord of the ring ni ya kitambo sana ila mpaka sasa series nyng tu hazifiki palePB ingeshushwa 2022 au 2021 ingekuwaje?