Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna hizi
  1. Alchemy of Souls Season 1 & 2
  2. Island
  3. Tomorrow
  4. Secret.Romance.Guest House
  5. Signal
  6. Tomorrow
  7. Tale of nine tailed Fox
  8. Blue Birthday
 
Ni balaa viper alikua anauliwa chap,maan demu anastyle ile ya kumpitia Adui kwa kasi ukiblock njia umeisha ni kumkwepa tu
 
mkuu itafute DONG YI..hlf uje unipe mrejesho.
 
Ni balaa viper alikua anauliwa chap,maan demu anastyle ile ya kumpitia Adui kwa kasi ukiblock njia umeisha ni kumkwepa tu
Ile njia ya kukimbia na kuchinja kwa haraka Yi Bang Ji naye alii-master alipopigana na Gil Tae Mi kule maeneo ya sokoni. Tae Mi alikuwa ameshaua wanajeshi wengi na watu walibaki wakimuogopa na kama sio Yi Bang Ji sijui hali inhekuwaje.

Tae Mi alimuuliza unaitwa nani maana nimekutana na shujaa, muda huo hata Mu Hyul naye alitamani kupambana na Gil Tae Mi ila Bang Ji alimuwahi.
 
Okopa sana mwanaume anayeangalia series za kikoreaπŸƒπŸƒπŸƒ
Btw naunga mkono hoja
Jumong
Iris
3days
Kingdom of wind
Ni kati ya series safi kuwahi tengenezwa Korea. Hizi za sasa hivi upuuzi mtupu
Jumong halaf story ikaendelezwa the land of wind, ilikuwa balaa na nusu πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Kwa wabongo Korean movies zimewateka akili sana lakini nafikiri ni sababu ya lugha ya malikia ila Nina watu kadhaa nafahamiana nao kutoka mataifa ambayo wanazungumza kimombo wanasema series ya 24 na prison break, ndio the best series ever .Nafikiri Wabongo kuto kumaster lugha ya malikia ipasavyo imetufanya kupenda Korean series sana kuliko series za western .ndio maana walio wengi wapo very limited juu ya maswala haya ya series more especially intelligence series wengi wanapenda movies za mapanga na mishale sababu hata kwa kuangalia action tu unajua mini kinamaanishwa.
 
Mimi za mafarasi mapanga na mishale ndio za kwangu hizo. Hizi za watu wamekaa kwenye macomputer kama nikita nilikuwa nazipenda enzi za ujana wangu chuo. Baada tu ya kutazama spartacus basi nikahamia jumla kwenye mapanga GOT ndio ikanimaliza zaidi
😍😍😍
 
Mimi pia nawakubali sana wale wawili ila ndio hivyo haikuniingia kabisa...hata ukiniuliza stori yake sikumbuki hata robo
Haumkumbuki hata baba yake Baek Dae Gil yule mzee mcheza kamari (Baek Ma Gyung) ambaye aliishia kuporwa mke na mfalme Sukjong baada ya kumbeti mkewe na mpango ukiwa umesukwa na mzee Yi In Jwa ambaye inadaiwa kiasili alikiwa na vinasaba vya mfalme Yi Songye na mfalme Yi Bang Won
 
kabisa.... sisi za western ziko deep sana, kuliko wakorea mapenzi tu ya kipuuzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…