Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

Hakuna raisi hapo,baada ya miezi mitatu mtarudi hapa na matusi kibao
Pole sana kamuone daktari maana nakuona hadi jasho la pumb* linavyokutoka.wewe utakua na undugu na wale waliotumbuliwa. Sasa kwa taarifa yako huyu ndo Rais wetu kipenzi cha Watanzania Rais asiyetumia nguvu na ubabe kuongoza nchi anatumia akili na hekima aliyojaliwa nayo kutoka kwa M/Mungu.
 
Na nilichogundua wamefungua account juzi tu waje kumchafua Rais wetu. Watashindwa kwa jina Yesu. Nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka,ng'e na adui muovu Nasambaritisha magenge na madhabahu zote za kishetani kwa jina la Yesu.
 
Mkuu, umenena vyema..

Hawa wahuni wanaompinga Mh. SSH, ni MATAGA wa lile genge la WASIOJULIKANA.

Washajua Mama hahitaji kazi zao mbaya za utekaji, utesaji, ubambikiziaji kesi feki, nk
 
Nchi ngumu sana hii, hata leo Lipumba akiwa Rais ngonjera zitakuwa hizi tu......
 
MATAGA,SUKUMA GANG, Wasiojulikana!
 
1. Mtu yeyote akiwa rais, atasemwq vibaya. This comes with the territory. Huwezi kuwa rais wa watu milioni sitini na kitu halafu usisemwe vibaya.

2. Ni kweli kuna watu wanamsakama Rais mpya kwa chuki binafsi. Jana nimeona mtu mmoja kamsakama Rais kwamba hajui Kiingereza, kwa kutumia tweet ya kwanza aliyotuma. Tweet ina Kiingereza cha kupimwa kwa rula ya Oxford na Columbia School of Journalism. Nikamuuliza, hii tweet ya Kiingereza cha Dr. Henry Kissinger ina makosa gani? Tujadili parts of speech, grammar, spelling etc, labda na mimi nitapata cha kujifunza katuka Kiingereza.

Jamaa alishindwa kuonesha kosa liko wapi.

Kumbe alimsakama rais kwa chuki binafsi.

3. Rais Hassan ni kweli alikuwa sehemu ya utawala uliopita, hivyo hawezi kuepuka lawama kwa mambo yakiyofanyika katika utawala uliopita. Serikali si rais tu, serikali inaongizwa kwa "collective responsibility". Kwa hiyo, wanaotaka kumchambua na kumsema rais ni ruhusa kutumia haki yao ya kikatiba kufanya hivyo, ila, wamchambue na kumkosoa kwa mambo yenye substance, si kwa uzushi na umbea usio kichwa wala miguu.

4.Tukitaka kumkosoa Rais mpya kwa yaliyopita, tukumbuke kitu kimoja.

Timing is everything.

Rais alijua, ukianza kumkosoa Jiwe mapema sana unaweza kuliwa kichwa kama Aboud Jumbe au Nape Nnauye.

Halafu analetwa muimba kwaya ya praise team kuku replace.

Ukichelewa sana unakuwa upande mbaya wa historia Jiwe anapoanguka.

Rais Hassan naona kamu wait out Jiwe mpaka Jiwe kaanguka, sasa Rais mpya anataka kuwahi kujiweka mbali na baadhi ya mambo ya Jiwe watu wajue alikuwa anapelekwapelekwa tu, lakini hakupenda.

Kwa ajili ya political survival yake ilibidi aende na ule muziki.

Kuna methali ya Kiingereza imeimbwa na Bob Marley katika "The Heathen" inasema "He who fights and run away, lives to fight another day".


We gotta pick our battles wisely. Tujue nani kashika mpini, nani kashika makali.

Mama alikuwa kashika makali kwa hiyo hakufurukuta sana. Sasa hivi kashika mpini anasema kwa uhuru.

5. Tukosoe kwa haki. Pia, tumtakie heri , kumshauri vizuri na kumpa nafasi rais mpya. Akishindwa kazi yeye tutaumia wote.
 
Wanaomsakama Rais wetu tunao hao!
Walidhulumu sana na wengi wako system
Nasikia sasa hawaelewani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…