Kuna watu na PhD zao wapo nyumbani hawana kazi, Rais Samia tafadhali saidia

Kunatatizo kwenye tume ya vyuo vikuu. Eti wameweka utaratibu mtu yeyote kuwa assistant lecturer au lecturer lazima awe amesoma degree ya kwanza, ya pila na ya PhD fani Moja. Yaani kama economics, na degree ya pili economics na PhD. Hivyo wengine wameondolewa kwenye kazi vyuoni. Mamlaka wamesahau kuwa kozi zinazotolewa na vyuo vyetu ndani yake Kuna masomo mchanganyiko yaani waweza Kuta mtu kasoma business lakini Kuna course ya economics aliisoma mwanzo mwisho, sasa akipendezwa nayo anaweza kusoma masters ya economics, hii ni multidisciplinary approach na anafaa kufundisha kama viwango vya GPA vimekidhi. Lakini Tume ya vyuo vikuu hawataki na wengine wamesimamishwa.
Ushauri watumie multidisciplinary approach.
 
Afadhali mbu unafanya utafiti wa malaria ambalo ni tatizo kubwa nchini. Kuna watu wana PhD za astronomy, mambo ya anga za juu nyota, sayari na mazugezuge kwenye outer space lakini hata hawa wana nafasi zao kwenye ajira za hapa nchini.
 
Sasa mtu umefanya Kazi Hadi ulaya Tena unahitaji Nini ? Yaana uende kusoma PhD ulaya na ufanye Kazi then urudi bongo kuvizia Ajira uchwara za serikalini Ambazo kuzipata sharti uwe CCM nadhani ujinga huu hao PhD holders wajitafakari.
Nafahamu fika. Nakwambia watu wana uzoefu wa miaka zaidi ya 15 tena wamefanya kazi nchi za nje na wana machapisho mengi lakini kazi hawapati licha ya kufanya applications kibao. Ni hatari!
 
Kuna ulimbukeni mkubwa Tanzania kuhusu nani anafaa kufundisha chuo kikuu. Mataifa yalivyo endelea gpa ni kigezo kidogo mno wanaangalia uzoefu zaidi.
 
Sasa PhD bila hela inakuwa na mantiki gani🤣?

Ishu ni hela sikuhizi sio sifa za kielimu. Unaweza kuwa na mavyeti kibao ila huna hela.
Hivi Mkuu Unaweza kwenda kusoma ulaya ukapata PhD yako then ukafanya Kazi ulaya miaka 15 then eti unarudi Tz bongo kufukuzia Ajira uchwara za serikalini Ambazo hupatikana kisiasa hii kwangu naona haina Maana to be honest
 
Hahahahahah huyo boya bora arudi zake ulaya tu kwa namna yeyote.
 
Hivi Mkuu Unaweza kwenda kusoma ulaya ukapata PhD yako then ukafanya Kazi ulaya miaka 15 then eti unarudi Tz bongo kufukuzia Ajira uchwara za serikalini Ambazo hupatikana kisiasa hii kwangu naona haina Maana to be honest
Inaonekana huelewi uhalisia wa mambo unachukulia jumla jumla mambo. Unafikiri ukienda Ulaya ni kama umekwenda Mbinguni huwezi kurudi nyumbani?
 
Inaonekana huelewi uhalisia wa mambo unachukulia jumla jumla mambo. Unafikiri ukienda Ulaya ni kama umekwenda Mbinguni huwezi kurudi nyumbani?
Mimi naangalia kuhusu matumizi sahihi ya ulichokisoma ukiishi ulaya ukapata Ajira kwa Elimu yako ya PhD within 15yrs huwezi kuwa jobless na kusubiri Ajira uchwara za serikalini Ambazo kuzipata sharti uwe mwanaccm
 
Mfano nani huyo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…