Kuna watu na PhD zao wapo nyumbani hawana kazi, Rais Samia tafadhali saidia

Bado mnafikiri PhD ni ka uchawi ka kufanya mambo pindi unapokuwa nayo? Kuna mengi ni kama vile unakuwa na mtu mwenye akili nzuri kibiashara ana business plan nzuri lakini hana mtaji.
Sio PhD tu elimu yoyote hata ya elimu jadi na elimu dunia inatakiwa ikukomboe wewe mwenyewe kifikra na kiuchumi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza fanya biashara inayohusiana na huo utafiti aloufanya kwa miaka 30

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu huyo mtu ambaye ujua hawezi kufanikiwa hata kwenye shughuri zake binafsi unampigia pande akawe mkurugenzi wa mashirika na taasisi kama ATCL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza fanya biashara inayohusiana na huo utafiti aloufanya kwa miaka 30

Sent using Jamii Forums mobile app
Na sio rahisi kama hizo biashara mnazofungua mkiwa na laki mbili. Unakwenda kwenye kona moja na kuanza biashara leo leo. Mtu kama huyo mtaji wa professional business aliyosemea ni milioni angalau 300.
 
Unafanya degree ya kwanza,mambo magumu
Unaenda kuongeza na masters ya field hiyo hiyo?
Halafu unaenda kufanya PHD yake,yaani we ungebaki home tu,huenda unaanza kuwa kichaa
 
Kuna njia tatu za kufanikiwa kimaisha...
Bahati
Kipaji
Bidii yenye akili....
Mwambie ajitafute hapo, yupo kundi gani aache kulia lia...
PhD Bongo Bahati mbaya.
 
Kuna njia tatu za kufanikiwa kimaisha...
Bahati
Kipaji
Bidii yenye akili....
Mwambie ajitafute hapo, yupo kundi gani aache kulia lia...
PhD Bongo Bahati mbaya.
Hapana ni mfumo mmbaya tu. Watu wanasoma sana siku hizi na baada ya miaka mingi shuleni wakosa kazi.
 
PhD kitu gani.
Tumekua nao hao uchumi unadorora. Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kutumia ndege ya serikali kwenda kwa mganga wa kienyeji kuchukua dawa, wengine wamekataliwa na watu wa kwao wakanyimwa ubunge. Just imagine MTU ana PhD na degree kibao lakini jimboni kwake hawana Imani nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…