Kuna njia tatu za kufanikiwa kimaisha...
Bahati
Kipaji
Bidii yenye akili....
Mwambie ajitafute hapo, yupo kundi gani aache kulia lia...
PhD Bongo Bahati mbaya.
Akiwa mkurugenzi ataiba tuu we check report ya CAG utagundua kusoma sana ni utapel wakuja kutumia elimu yako kuibia wenzako
Wewe nawe unga hapa chini.PhD kitu gani.
Tumekua nao hao uchumi unadorora. Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kutumia ndege ya serikali kwenda kwa mganga wa kienyeji kuchukua dawa, wengine wamekataliwa na watu wa kwao wakanyimwa ubunge. Just imagine MTU ana PhD na degree kibao lakini jimboni kwake hawana Imani nae.
Nyie pengine hamjasoma na hampendi wasomi pamoja na kutegemea kazi zao. Hivi mnajua kuwa kila kitu kinachhongoza maisha ya watu wasomi ndio chanzo chake? Hizo bidhaa mnazouza zimetengenezwa na wasomi nyie kazi ni kusambaza na kuuza tu.
Sasa unakuta MTU ana PhD ya philosophy atafanyia nin
Wanaachwa kwa sababu, obviously, the so-called elimu waliyonayo haina faida yoyote, ni mzigo, kifaji (liability).Tuanze na wasomi wa sayansi. Ni aibu kwa taifa linaloendelea kuwaacha hawa wasomi mtaani.
Lakini hayupo nyumbaniInategemea PhD ya kitu gani hata Hemed msanii nae ni PhD
Lakini hayupo nyumbaniInategemea PhD ya kitu gani hata Hemed msanii nae ni PhD
Du huyo PhD holder anayekosa kazi ya kufanya atakuwa amesoma kibongobongo.Wapo wasomi wakubwa wamepata PhD kutoka vyuo vyenye sifa kubwa duniani lakini wasomi hawa wapo nyumbani hawana kazi.
Sipendi kuamini kuwa hatuwahitaji watu hawa nchini. Tumewasomesha kwa gharama kubwa na sasa tuwatumie kwa faida ya taifa letu.
Ninashauri rais wetu mama Samia kuwe na kanzi data (data base) yenye majina na wasifu wa wasomi hawa ili waweze kupewa nafasi za ajira na teuzi mbalimbali kwa manufaa ya nchi yetu.
🤣🤣😂😂😂 Ajira unawaombea PhD?
Acha wakae nyumbani....Kwanza jua kila mtu anahitaji kazi, azalishe.Nafahamu fika. Nakwambia watu wana uzoefu wa miaka zaidi ya 15 tena wamefanya kazi nchi za nje na wana machapisho mengi lakini kazi hawapati licha ya kufanya applications kibao. Ni hatari!
Unazidiwa hela na mvuvi...Sasa PhD bila hela inakuwa na mantiki gani🤣?
Ishu ni hela sikuhizi sio sifa za kielimu. Unaweza kuwa na mavyeti kibao ila huna hela.
Ndio wanakuwa wezi na kuua taasisi..Sasa PhD ya nini kama umeshindwa kabadili mazingira magumu kuwa mepesi au changamoto kuwa fursa Sasa mtu kama huyo atawezaje kuongoza taasisi unayotaka yeye ateuliwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
SawasawaSio PhD tu elimu yoyote hata ya elimu jadi na elimu dunia inatakiwa ikukomboe wewe mwenyewe kifikra na kiuchumi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania yetu 🎵PhD kitu gani.
Tumekua nao hao uchumi unadorora. Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kutumia ndege ya serikali kwenda kwa mganga wa kienyeji kuchukua dawa, wengine wamekataliwa na watu wa kwao wakanyimwa ubunge. Just imagine MTU ana PhD na degree kibao lakini jimboni kwake hawana Imani nae.
Tanzania yetu 🎵Mmasai anayemiliki ng'ombe hamsini wa maziwa , ana maisha mazuri kuliko msomi mwenye PhD.
Mkulima anaye miliki eka kumi za shamba lenye miti ya matunda, ana maisha mazuri kuliko msomi mwenye PhD.
Kupanga ni kuchagua...