Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani !
inabidi uwe umesha leta impact...

kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia,

unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya fanya kabla ya kufikia miaka 30,
na alikufa akiwa 30'S, ila hadi saivi anakumbukwa na hawezi kusahaulika kwenye historia ya Dunia. ingawa aliishi B.C huko.

huo ni mfano mmoja tu ila ukiwa na miaka 30 inabidi uwe umeshafanya mambo makubwa tuu, hata kufa tayari

kama kina kanumba etc...

fanya kitu leta impact amsha

kwani wewe ulikuja duniani ku enjoy tuu ?

mda ni mchache sana,

kama ulitaka kukaa milele si ungekua mlima,

au hata uwe kobe uishi miaka 200+

Binadamu aliumbwa akapewa akili ili aje kuleta impact kwenye Dunia.

au wewe utashabikia tu simba na yanga,

"stop existing start living."

kwa wataoniuliza mimi nimefanyaje na nina miaka ngapi mimi nina miaka 12
Mimi mwanangu sio kukaa tu alete na mke wake kabisa na wajukuu nitawalea maana huo ndio upendo
 
Moja ya mambo huwa yamewashinda kuyaelewa watu ni kufananisha Umri na mafanikio.

Miaka 30 unaweza ukawa hauna kitu chochote unachomiliki ,ikiwemo ,kazi, elimu, familia , n.k

Ila miaka 31 ukajikuta Una kila kitu.

Hapa duniani huwa hakuna umri wa kufanya jambo Fulani Ila huwa kuna wakati na majira ya kufanya jambo Fulani.

Jambo la muhimu ambalo kijana anabidi kuwa nalo ni kuwa sober 24/7

Umri huwa haumfanyi MTU afanikiwe wala asifanikiwe

Unaweza msoma hata founder wa KFC katoboa Ana miaka 65+yrs
Exactly twapaswa tusia attach mafanikio na umri, ila swala la kukaa nyumbani till your 30's nao ni ujinga, hasa kama ni mwanaume. Yaan huna hata pa kujishikisha, that's preparing for an early death.

Mleta mada naye asikilizwe. Japo kusema kweli hilo sio swala la kustajabisha kwenye jamii. Miaka ya nyuma by 20 tyr mtu akili haipoi anatokaje home. Tatizo ni hii generation yenye watu wazembe.
 
miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani !
inabidi uwe umesha leta impact...

kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia,

unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya fanya kabla ya kufikia miaka 30,
na alikufa akiwa 30'S, ila hadi saivi anakumbukwa na hawezi kusahaulika kwenye historia ya Dunia. ingawa aliishi B.C huko.

huo ni mfano mmoja tu ila ukiwa na miaka 30 inabidi uwe umeshafanya mambo makubwa tuu, hata kufa tayari

kama kina kanumba etc...

fanya kitu leta impact amsha

kwani wewe ulikuja duniani ku enjoy tuu ?

mda ni mchache sana,

kama ulitaka kukaa milele si ungekua mlima,

au hata uwe kobe uishi miaka 200+

Binadamu aliumbwa akapewa akili ili aje kuleta impact kwenye Dunia.

au wewe utashabikia tu simba na yanga,

"stop existing start living."

kwa wataoniuliza mimi nimefanyaje na nina miaka ngapi mimi nina miaka 12
Bado nipo kwa Baba, na Baba yupo kwa Babu.
 
Hongera Sana mtoa mada. Na wengine endeleeni kuwasimanga Kwa lengo la kuwaamsha vijana walio kwenye 30s mpaka waamke. Huo ni umri wa kufanya maamuzi sahihi katika maisha.
 
miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani !
inabidi uwe umesha leta impact...

kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia,

unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya fanya kabla ya kufikia miaka 30,
na alikufa akiwa 30'S, ila hadi saivi anakumbukwa na hawezi kusahaulika kwenye historia ya Dunia. ingawa aliishi B.C huko.

huo ni mfano mmoja tu ila ukiwa na miaka 30 inabidi uwe umeshafanya mambo makubwa tuu, hata kufa tayari

kama kina kanumba etc...

fanya kitu leta impact amsha

kwani wewe ulikuja duniani ku enjoy tuu ?

mda ni mchache sana,

kama ulitaka kukaa milele si ungekua mlima,

au hata uwe kobe uishi miaka 200+

Binadamu aliumbwa akapewa akili ili aje kuleta impact kwenye Dunia.

au wewe utashabikia tu simba na yanga,

"stop existing start living."

kwa wataoniuliza mimi nimefanyaje na nina miaka ngapi mimi nina miaka 12
Inategemea mbona waarabu wanaishi pamoja na familia zao?...umasikini unaleta utengano
 
Wewe umezaliwa familia ya makapuku Yani Wazazi wako walikufukuza kwenu maana hata ukitumia Dawa ya mswaki wanaona Unamaliza Hela kwahyo usitupangie sie wengine Yani me nihame kwetu wakati nkitoka Kijiwenu nakuta Ubwabwa Nyama ushaiva Jikoni halafu nihame kwetu kweli???
 
miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani !
inabidi uwe umesha leta impact...

kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia,

unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya fanya kabla ya kufikia miaka 30,
na alikufa akiwa 30'S, ila hadi saivi anakumbukwa na hawezi kusahaulika kwenye historia ya Dunia. ingawa aliishi B.C huko.

huo ni mfano mmoja tu ila ukiwa na miaka 30 inabidi uwe umeshafanya mambo makubwa tuu, hata kufa tayari

kama kina kanumba etc...

fanya kitu leta impact amsha

kwani wewe ulikuja duniani ku enjoy tuu ?

mda ni mchache sana,

kama ulitaka kukaa milele si ungekua mlima,

au hata uwe kobe uishi miaka 200+

Binadamu aliumbwa akapewa akili ili aje kuleta impact kwenye Dunia.

au wewe utashabikia tu simba na yanga,

"stop existing start living."

kwa wataoniuliza mimi nimefanyaje na nina miaka ngapi mimi nina miaka 12
Mkuu
Kuna watu kwao Wana kila kitu
In short hata Mimi ningekua kwetu 😊😊 now

Ndio ivyo Tena nipo huku ughaibuni

So hatufanani Usifananishe LIPULI FC na SIMBA SC AMA YANGA vile vile FC BARCELONA AMA REAL MADRID na SIMBA AMA YANGA..

BILLNAS FT TID_LIGI NDOGO
 
miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani !
inabidi uwe umesha leta impact...

kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia,

unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya fanya kabla ya kufikia miaka 30,
na alikufa akiwa 30'S, ila hadi saivi anakumbukwa na hawezi kusahaulika kwenye historia ya Dunia. ingawa aliishi B.C huko.

huo ni mfano mmoja tu ila ukiwa na miaka 30 inabidi uwe umeshafanya mambo makubwa tuu, hata kufa tayari

kama kina kanumba etc...

fanya kitu leta impact amsha

kwani wewe ulikuja duniani ku enjoy tuu ?

mda ni mchache sana,

kama ulitaka kukaa milele si ungekua mlima,

au hata uwe kobe uishi miaka 200+

Binadamu aliumbwa akapewa akili ili aje kuleta impact kwenye Dunia.

au wewe utashabikia tu simba na yanga,

"stop existing start living."

kwa wataoniuliza mimi nimefanyaje na nina miaka ngapi mimi nina miaka 12
dah unamlinganisha aleksi mkuu na vijana walamba midomo wa leo hawa? umemkosea sana aisee.
 
Back
Top Bottom