Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

Babu tatizo lako muogamuoga sana na wewe🙄
Hahaha.............we nipe moyo tu, nikidundwa utafanya kazi ya kunikanda mwili hadi nipone 😜🤗

Get prepared, Mjukuu, will be there for you
 
Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact.

Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia.

Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya fanya kabla ya kufikia miaka 30 na alikufa akiwa 30'S, ila hadi saivi anakumbukwa na hawezi kusahaulika kwenye historia ya Dunia ingawa aliishi B.C huko.

Huo ni mfano mmoja tu ila ukiwa na miaka 30 inabidi uwe umeshafanya mambo makubwa tuu, hata kufa tayari, kama kina kanumba etc.

Fanya kitu leta impact amsha, kwani wewe ulikuja Duniani ku enjoy tuu?

Muda ni mchache sana, kama ulitaka kukaa milele si ungekua mlima, au hata uwe kobe uishi miaka 200+! Binadamu aliumbwa akapewa akili ili aje kuleta impact kwenye Dunia au wewe utashabikia tu Simba na Yanga, "Stop existing start living."

Kwa wataoniuliza mimi nimefanyaje na nina miaka ngapi mimi nina miaka 12!
Mimi Nina 57 na Niko kwa wazazi wangu

Shida Iko wapi
 
Kina blue hao wakubwa mbona aangalie haya North West anapiga mpunga kiasi gani na nikatoto, jamaa kaja kuatack watu, watu wanapitia mazito
Ukute manyanyaso yote haya Kwa binadamu wenzie kafanikiwa kupanga servant 200,000 na kumiliki Raumu ya mkopo,Shida!
 
😂😂😂😂, nliwah kumwambia ndugu yangu mmoja kwamba kupata kwake hela nyingi akiona wenzie hawana sio kwamba hawana akili watu wanapambana ni vile tu sometimes mambo hayatokei kama vile ambavyo watu wanatarajia, tena kwa nchi kama tanzania watu kibao wana 30s na bado wanajitafuta, ikatokea mtu kafanikiwa asiwaseme wenzie vibaya, ajaribu kuwamotivate wakae sawa, circumstance za maisha hapa duniani zinatofautiana sanaaa
 
Haki vile!watu Wana hustler Hadi sio poa yaani lakini mambo bado magumu,,,hakuna haja kuwadharau ambao hawajatoboa tuombeane,tutiane Moyo,inatosha!
 
Yaaah maisha bwana ndio yalivyo, hakuna kupumzika mpaka unaingia kaburini
 
Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact.

Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia.

Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya fanya kabla ya kufikia miaka 30 na alikufa akiwa 30'S, ila hadi saivi anakumbukwa na hawezi kusahaulika kwenye historia ya Dunia ingawa aliishi B.C huko.

Huo ni mfano mmoja tu ila ukiwa na miaka 30 inabidi uwe umeshafanya mambo makubwa tuu, hata kufa tayari, kama kina kanumba etc.

Fanya kitu leta impact amsha, kwani wewe ulikuja Duniani ku enjoy tuu?

Muda ni mchache sana, kama ulitaka kukaa milele si ungekua mlima, au hata uwe kobe uishi miaka 200+! Binadamu aliumbwa akapewa akili ili aje kuleta impact kwenye Dunia au wewe utashabikia tu Simba na Yanga, "Stop existing start living."

Kwa wataoniuliza mimi nimefanyaje na nina miaka ngapi mimi nina miaka 12!
Kuna mambo mengi ya kufikiria kwa kijana wa umri wa kuondoka nyumbani.

Kwa namna yeyote ile kuondoka nyumbani kunapaswa kuzingatia afya ya wazazi wenyewe.
Ikiwa wazazi wanajiweza hasa kiafya na walao kumudu maisha ya kika siku basi hata miaka 19 unaweza kutoka nyumbani kwa ajili ya kwenda kutafuta maisha na changamoto zingine kwa mustakabali wa maisha yako, familia na wazazi.
Lakini kama wazazi wana changamoto kubwa ya kiafya mfano uzee sana, uwezo mdogo wa kujihudumia, ulemavu na magonjwa yanayoyohitaji uangalizi wa karibu basi hakuna haja ya kufanya hivyo badala yake tumia muda wako kupambania maisha ukiwa hapohapo nyumbani ili kutoa usaidizi wa karibu kwa wazazi wako.
 
Labda hiyo miaka thelathini uwe una ulemavu mmoja au mwingne kinyume na hapo itakuwa ni uvivu mkubwa wa kiakili na kimwili hivyo sio sahihi kuishi na wazazi miaka yote hiyo
 
Back
Top Bottom