P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
- Thread starter
- #81
inabidi afike ata 50 hivi ndo apate hata busara flaniMiaka 30 ni mtoto sana kiusalama hata kuvuka barabara anatakiwa avushwe na mzazi wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inabidi afike ata 50 hivi ndo apate hata busara flaniMiaka 30 ni mtoto sana kiusalama hata kuvuka barabara anatakiwa avushwe na mzazi wake
We ni WA kiume kwelMkuu ni maisha tu , wala usitusagie kunguni kiasi hiki.
Me naoa hapa hapa kwa mzee na nasubiri Akufe nirithi mali(Alisikika mpemba mmoja akisema akimwambia mdigo na mzigua)
Gari langu la kwanza nilimiliki nikiwa na miaka 17 pekee.Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact.
Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia.
Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya fanya kabla ya kufikia miaka 30 na alikufa akiwa 30'S, ila hadi saivi anakumbukwa na hawezi kusahaulika kwenye historia ya Dunia ingawa aliishi B.C huko.
Huo ni mfano mmoja tu ila ukiwa na miaka 30 inabidi uwe umeshafanya mambo makubwa tuu, hata kufa tayari, kama kina kanumba etc.
Fanya kitu leta impact amsha, kwani wewe ulikuja Duniani ku enjoy tuu?
Muda ni mchache sana, kama ulitaka kukaa milele si ungekua mlima, au hata uwe kobe uishi miaka 200+! Binadamu aliumbwa akapewa akili ili aje kuleta impact kwenye Dunia au wewe utashabikia tu Simba na Yanga, "Stop existing start living."
Kwa wataoniuliza mimi nimefanyaje na nina miaka ngapi mimi nina miaka 12!